Anayemfahamu huyu Dada

Anayemfahamu huyu Dada

Kama Google mi pia ni
metumia sana kutafuta....hadi fb na kote,my intention was just to get a person who can inbox me her whereabouts!naona unachukulia tofauti sana

wewe ulitumia google ya kichina?
Mbona mwenzako kaweza?
Wewe nimekuambia nenda standard chartered yupo dada yake mkubwa unaleta ubishi
kwa taarifa yako lizzy keshaolewa na ana watoto 3
 
Samahanini wandugu...mie namtafuta mdada fulani anaitwa Lizzy....tulimaliza nae Forest Hill Morogoro EGM mwaka 2005 kidato cha sita.....baadae alikuja kwenda UK kimasomo kwa taarifa za mwisho nilizozipata!anayemfahamu au kama anapita hapa..mie namtafuta!Msaada tafadhali
Nenda facebook
 
Njoooo mbarali huku usha nipata
namba hiyo 0765231234!!!!!!
 
Mkuu KKIII watu8 ni balaa...lakn na yeye anasema hana ukaribu nae wowote

Hebu acha ugwadu wewe.......hiyo amegoogle na akampata.....ungeshirikisha akili yako usingekuja kote huku.....haya sasa nenda Facebook kamtafute huko.....mi mwenyewe naitwa Lizzy........
 
mkuu ulitakiwa kumtaja kwa majina yake ili wadau wakusaidie ila uzi wako umeandika kama vile lizzy yupo JF kumbe unaomba usaidiwe. Forest Hills EGM na mengineyo umesoma ww na Lizy sisi wadau hatujui. Ndo maana wadau wamekushambulia hivi
 
Jaribu possible names zake labda umeweka Lizzy kumbe yeye anatumia Elizabeth so kama kweli yuko abroad atakuwa kwenye ulimwengu wa digitali kwani ukiwa huko once you feel blue utajitahidi kuchat na watu.

Mkuu Maji wengi wakienda nje wanabadiri majina ili waweze kupata docs na pia kazi kuna mshkaji kabla hajaenda mtoni kwenye fb alikuwa na jina lake la tz lakn alivyofika huko baada ya mda flan anajumia jina la kizungu tena yote.
 
Hebu acha ugwadu wewe.......hiyo amegoogle na akampata.....ungeshirikisha akili yako usingekuja kote huku.....haya sasa nenda Facebook kamtafute huko.....mi mwenyewe naitwa Lizzy........

Unajua maana ya ugwadu?sijakuuliza we unaitwa nani na wala sina haja ya kujua..tatizo huwa unajiona "much knower" sana
 
Mimi namtafuta Lizzy wa Jeiefu, homu of griti sinkaz.......
 
Mungu mkubwa,hilo jina la pili ndo lilikuwa linanipa ugumu ni ELIZABETH EUGENE,Mdada wa kichaga..sina nia mbaya Mungu anajua..ni mdada niliyeishi nae kwa wema wa kimungu,nikapotezana nae baada ya mimi pia kuenda nchi za nje,njoo PM Watu8...n Elizabeth ila kazoeleka Liz....kweli JF ni great forum!
Mkuu mimi siku diss wala nin ila ni kama vile technolojia uko nyuma ingawa umedai ulienda nchi za nje..lakini inawezekana ulikua congo, uganda etc maana hata hiyo ni nchi za nje coming to the point..sasa unajua inawezekana watu 8 amegoogle matokeo ya 2005 ya hiyo shule uliyoitaja na kukuta majina hayo..daah napata picha mkuu ulikua unamkubali mtoto wa kichaga halafu sound zilizingua saiv ndo unataka ufanye mambo hahahahahaha....i could be wrong but i could also be right hahahahahahah.....
 
Vipi amekuhibia au? Funguka tukupe namba za intel pale London kama una shida.
 
ungejua wala usingetanguliza kashfa...lakn basi ndo tumeumbwa tofauti

Forest nafikir ukifika pale shule ''Dogo'' huwa anadata za wanafunz wote waliopita pale au pita kwenye zile hostel zao za madizin au lamiriam utampata tuu
 
Kwa maelezo aliyotoa ni ngumu kumpata hata wengine kumjua kama alivyouliza. Ninavyojua mtu hatafutwi hivi

Labda angetaja majina yote matatu, tungesearch hata google na linked line tungejua wapi yupo na anafanya kazi gani kwa sasa! Lakini maelezo yameficha details muhimu za kumtafuta mtu ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom