Anayemfahamu huyu Dada

Anayemfahamu huyu Dada

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,945
Samahanini wandugu...mie namtafuta mdada fulani anaitwa Lizzy....tulimaliza nae Forest Hill Morogoro EGM mwaka 2005 kidato cha sita.....baadae alikuja kwenda UK kimasomo kwa taarifa za mwisho nilizozipata!anayemfahamu au kama anapita hapa..mie namtafuta!Msaada tafadhali
 
Acha ushamba toa maelezo sahihi. hujawahi kutoa maelezo polisi nini!! akina Lizzy wapo wengi.
 
daah bahati mbaya mi simfahamu! Ngoja waje wengine!
 
kwanza hakuna jina lizzy duniani badala litoe maJINA MATATU JINGA KWELI KWELI

matusi ya nini?kosa langu ni nini wapendwa?anafahamika kama Lizi,jina la pili limenitoka...sasa ujinga wangu nini tena?kama nimekosea nielekezwe sio matusi...
 
matusi ya nini?kosa langu ni nini wapendwa?anafahamika kama lizi,jina la pili limenitoka...sasa ujinga wangu nini tena?kama nimekosea nielekezwe sio matusi...
kama huoni ujinga wako hapa basi ndugu yangu samahani ila mimi nakasirika sana
hivi mtu anasema namtafuta neema wa singida is it true kweli hiyo shukle ina neema mmja au lizi mmja ???? Kama ulikuwa hukumbuki ubini au second name sioni umuhimu wa wewe kuweka thread hebu angalia wenzako wanaotafuta watu wao humu kama wamefanana na tangazo lako vitu vingine mnatafutaga kudharaulika wenyewe ,hainiingii akilini kama unajua kusoma na kuandika huwezi reasoni kweli kweli .
 
kosa langu ni nini wapendwa?anafahamika kama Lizi,jina la pili limenitoka...

Hapo mwanzoni baada ya kuona watu wanakudhihaki nikashawishika kuamini wanakuonea bure...

Lakini kwa maelezo hayo hapo juu, nina wasiwasi haukuwa na uhusiano wa karibu na huyo Lizzy...

Hivyo unajenga wasiwasi kwa sisi waungwana kuweza kujua nia yako haswa ni ipi...

Jambo pekee la kukusaidia, labda ungeweka walau jina lako moja tu ili Lizzy akiliona akutambue...
 
Nyoosha maelezo vizuri mkuu barafu vinginevyo hutoweza kupata msaada.
 
Last edited by a moderator:
barafu

Kwa kukusaidia tu, unamtafuta yupi kati ya hawa wawili waliomaliza EGM mwaka huo tajwa:

ELIZABERT S ASSEY au ELIZABETH EUGENE ?

Maybe you can start your search from there...
 
barafu

Kwa kukusaidia tu, unamtafuta yupi kati ya hawa wawili waliomaliza EGM mwaka huo tajwa:

ELIZABERT S ASSEY au ELIZABETH EUGENE ?

Maybe you can start your search from there...
Naona kasepa. Ila umempa msaada mkubwa sana kwa kuweka majina hayo hadharani.
 
matusi ya nini?kosa langu ni nini wapendwa?anafahamika kama Lizi,jina la pili limenitoka...sasa ujinga wangu nini tena?kama nimekosea nielekezwe sio matusi...

Hawa watoto wa Ndarichako hasara tupu, hata kujieleza shida?
 
Naona kasepa. Ila umempa msaada mkubwa sana kwa kuweka majina hayo hadharani.

Akirudi atayakuta...maana nami imebidi nifanye ufukunyuku ili kuyapata hayo majina.
 
nivea, ulipotelea wapi pacha wangu? Vipi kuhusu fp niliwamisi sana ilibaki robo saa nitoe tangazo la kuwatafuta
nakumbuka twin nimekutumia salamu mara 2 sikuona majibu nikajua umesafiri kwa basi kwenda zanzibar kweli nilikumisi pia ila karibu sana ,nimekuwa na mambo mengi majukumu yananiumiza kichwa nashindwa kuwa active member ,hata FP anajua hilo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom