Anayemfahamu huyu Dada

Anayemfahamu huyu Dada

barafu

Kwa kukusaidia tu, unamtafuta yupi kati ya hawa wawili waliomaliza EGM mwaka huo tajwa:

ELIZABERT S ASSEY au ELIZABETH EUGENE ?

Maybe you can start your search from there...

Mungu mkubwa,hilo jina la pili ndo lilikuwa linanipa ugumu ni ELIZABETH EUGENE,Mdada wa kichaga..sina nia mbaya Mungu anajua..ni mdada niliyeishi nae kwa wema wa kimungu,nikapotezana nae baada ya mimi pia kuenda nchi za nje,njoo PM Watu8...n Elizabeth ila kazoeleka Liz....kweli JF ni great forum!
 
Mkuu nimetumia njia fupi tu kulipata jina lake, ila sina details zaidi ya hapo

Mkuu kwanini upate shida, tafuta jina lake kwenye google kama ni mtu wa ulimwengu wa digital utampata kwa facebook or whatever. Mbona simple?
 
kama huoni ujinga wako hapa basi ndugu yangu samahani ila mimi nakasirika sana
hivi mtu anasema namtafuta neema wa singida is it true kweli hiyo shukle ina neema mmja au lizi mmja ???? Kama ulikuwa hukumbuki ubini au second name sioni umuhimu wa wewe kuweka thread hebu angalia wenzako wanaotafuta watu wao humu kama wamefanana na tangazo lako vitu vingine mnatafutaga kudharaulika wenyewe ,hainiingii akilini kama unajua kusoma na kuandika huwezi reasoni kweli kweli .

Ungejua wala usingeandika maudhi hayo yote...uandishi wa jina la pili ndo lilikuwa utata,lakn nikaepuka Generalazation,nikawa very specific kwa kutumia jina lake maarufu shuleni la "Lizy"...tena nikasema Forest Hill-2005,nikawa too specific nikasema EGM....Nikiwa na imani watu wa karibu yake watatambua!ASANTE SANA Watu8
 
nakumbuka twin nimekutumia salamu mara 2 sikuona majibu nikajua umesafiri kwa basi kwenda zanzibar kweli nilikumisi pia ila karibu sana ,nimekuwa na mambo mengi majukumu yananiumiza kichwa nashindwa kuwa active member ,hata FP anajua hilo

Pole sana na majukumu. Hata mm nalifahamu kuwa umebanwa na majukumu hasa hili lililopo mbeleyetu la kuandaa katiba mpya. Nimatumaini yangu u na afya njema
 
Mkuu kwanini upate shida, tafuta jina lake kwenye google kama ni mtu wa ulimwengu wa digital utampata kwa facebook or whatever. Mbona simple?

Nimejaribu sana,hata huko hapatikaniki
 
Jaribu possible names zake labda umeweka Lizzy kumbe yeye anatumia Elizabeth so kama kweli yuko abroad atakuwa kwenye ulimwengu wa digitali kwani ukiwa huko once you feel blue utajitahidi kuchat na watu.
 
Mkuu nimetumia njia fupi tu kulipata jina lake, ila sina details zaidi ya hapo

nimecheka sana jamani
loooo wewe umeggoogle kumsaidia jina la pili bado anataka details za ziada kutoka kwako
barafu lizzy ana dadake anafanya standard chartered anaitwa rose rose pia mume wake mdogo wake ni jirani ya mtoto wa mjomba wa shangazi aliyechangia mama na baba mkubwa aliyechangia baba na mama yangu wa kambo
njoo nikupe contacts zake
 
Last edited by a moderator:
Mkuu KKIII watu8 ni balaa...lakn na yeye anasema hana ukaribu nae wowote

Sina ubalaa wowote ndugu...nimechuja tu vitu vichache kwenye thread yako

1. EGM

2. Forest Hill Secondary School

3. ACSEE 2005

4. Lizzy

Hizo taarifa kwangu mimi nadhani zilitosha kufanya ufukunyuku na kutoa mwangaza kwako...
 
nimecheka sana jamani
loooo wewe umeggoogle kumsaidia jina la pili bado anataka details za ziada kutoka kwako

Kipendacho roho hula nyama mbichi, ninadhani jamaa alikuwa anampenda huyo dada ila sasa mambo hayakwenda uzuri wakati huo...
 
nimecheka sana jamani
loooo wewe umeggoogle kumsaidia jina la pili bado anataka details za ziada kutoka kwako
barafu lizzy ana dadake anafanya standard chartered anaitwa rose rose pia mume wake mdogo wake ni jirani ya mtoto wa mjomba wa shangazi aliyechangia mama na baba mkubwa aliyechangia baba na mama yangu wa kambo
njoo nikupe contacts zake

Kama Google mi pia nimetumia sana kutafuta....hadi fb na kote,my intention was just to get a person who can inbox me her whereabouts!naona unachukulia tofauti sana
 
Last edited by a moderator:
Samahanini wandugu...mie namtafuta mdada fulani anaitwa Lizzy....tulimaliza nae Forest Hill Morogoro EGM mwaka 2005 kidato cha sita.....baadae alikuja kwenda UK kimasomo kwa taarifa za mwisho nilizozipata!anayemfahamu au kama anapita hapa..mie namtafuta!Msaada tafadhali

ila wewe ndo kux kweli yaani hueleweki @
 
Mungu mkubwa,hilo jina la pili ndo lilikuwa linanipa ugumu ni ELIZABETH EUGENE,Mdada wa kichaga..sina nia mbaya Mungu anajua..

Next time uache uvivu wa kufikiri, kila kitu unataka usaidiwe tu bila kutumia brain cells zako kufanya hata preliminary research..kwenye website ya NECTA ya majibu ya form six ungeweza pata hilo jina lake kamili kisha ukaulizia!
 
sawa bwana Riwa....umeeleweka sana!ujinga nao mzigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom