Anayemfahamu huyu Dada

Anayemfahamu huyu Dada

Mkuu mimi siku diss wala nin ila ni kama vile technolojia uko nyuma ingawa umedai ulienda nchi za nje..lakini inawezekana ulikua congo, uganda etc maana hata hiyo ni nchi za nje coming to the point..sasa unajua inawezekana watu 8 amegoogle matokeo ya 2005 ya hiyo shule uliyoitaja na kukuta majina hayo..daah napata picha mkuu ulikua unamkubali mtoto wa kichaga halafu sound zilizingua saiv ndo unataka ufanye mambo hahahahahaha....i could be wrong but i could also be right hahahahahahah.....

Sawa tu...vyovyote unavyofikiria!ili mradi unavendea haki ubongo wako
 
kwanza hakuna jina lizzy duniani badala litoe maJINA MATATU JINGA KWELI KWELI

Hahahaha, anavyoshambuliwa balaa, ila kajitakia maana kutoa jina moja tena kwa kfupi ni kujitakia zahama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom