Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Kwa wanawake tuliokomaa kiakili hatutishiki na mume anaerudi usiku wa manane kwa maana inatafsiri yafuatayo; kwamba kurudi saa nane Ni wazi huko ulikokuwa haukuwa na mwanamke na Kama ulikuwa nae Basi hamjakutana kimwili, ama la mmekutana ila hamjachoshana, Ni ngumu sana kumuacha mwanamke/kimada wako kitandani saa tisa usiku eti unarudi kwa mkeo obviously utaona heri urudi asubuhi tu,Ungekuwa mnywaji wa pombe ningekushsuri anza kurudi saa nane usiku uone
Duh! Kweli umekomaa kimahusiano , hebu nyie wengine mumtumie huyu mwenzenu vizuri kwa ustawi wa ndoa zenu.Kwa wanawake tuliokomaa kiakili hatutishiki na mume anaerudi usiku wa manane kwa maana inatafsiri yafuatayo; kwamba kurudi saa nane Ni wazi huko ulikokuwa haukuwa na mwanamke na Kama ulikuwa nae Basi hamjakutana kimwili, ama la mmekutana ila hamjachoshana, Ni ngumu sana kumuacha mwanamke/kimada wako kitandani saa tisa usiku eti unarudi kwa mkeo obviously utaona heri urudi asubuhi tu,
Kama ikiwa kinyume chake yani unae kimada na ukamuacha usiku mkubwa hivyo kuwahi kwa mkeo trust me unamuheshimu sana na kumuogopa mke wako, naamini mwanaume wa kurudi usiku mnene Ni ama iwe tabia yake au kapata dharula ila siaminigi kuwa eti katokea kwa kimada, kuliko wanaorudi ndani saa mbili mpaka saa tatu usiku hao wengi wanakuwaga na vimada Tena wamevipangia na nyumba kabisa km mke
Kurudi usiku mnene natafsiri Kama heshima kwa mke, kuliko kurudi asbh
ukipewa limbwata wewe huoni kama ni linbwata lakini watu wako wa karibu ndio watajua huo upendo kuna la ziada
Kulibwatua libwata😆😆😆Mungu alipotuumba akampa kila mtu akili na nafsi hakukosea hata kidogo. Hii customization tunayotamani kuifanya kamwe haiwezi kutuacha salama.....
Mara ghafla unaanza kuishi na robot ndani ya nyumba
View attachment 1692262
Halina msaadaKulibwatua libwata😆😆😆
Hilindilo suruhisho japo sishauri kabisa, anawezakuja kuaribu ndoa yake au kuleta magonjwa asipojeza vizuriTafuta mchepuko kwanza afu uone kama utakuwa na timi nae