Anayedaiwa kumwingizia Panga mkewe sehemu za siri akamatwa

Sijasoma maelezo, ila kwa title tu, nafikiri kwa vyovoyte vile huyo mtu aliyetenda hilo, lazima ana matatizo makubwa ya kiakili.
 
Ndoa yake ya 3, walikuwa wanaokota korosho alafu akaenda kwa binamu kutwanga kisamvu 🤔,
 
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Makong’onda, wilayani Masasi, Mkoa wa Mtwara, akituhumiwa kumpiga mkewe kisha kumuingizia panga sehemu za siri (njia ya haja kubwa) na kumsababishia majeraha.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 14, 2023; Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema kuwa tukio hilo limetokea Oktoba 8 saaa moja jioni katika Kijiji cha Makong’onda.

Kabla ya tukio hilo, Kamanda huyo ameeleza kuwa mtuhumiwa pamoja na mkewe, walikuwa katika shughuli zao za kuokota korosho, kaada ya hapo, mwanamke huyo alikwenda kwa binamu yake kutwanga kisamvu ambapo ni eneo la jirani na wanapoishi.

“Baada ya kukaa huko kwa muda akitwanga kisamvu hicho mumewe alihisi kuwa mkewe ameenda kwa mwanaume mwingine, baada ya kurejea alianza kumshambulia hadi mwanamke huyo kupoteza fahamu,” amesema Kamnda Katembo na kuongeza;

“Baada ya kipigo hicho, inadaiwa mtuhumiwa alichukua panga na kumuingizia sehemu ya haja kubwa na hivyo kusababisha majeraha. Hata hivyo muhanga huyo sasa anandelea vizuri baada ya kupata matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Newala.”

Kamanda huyo alitoa rai kwa wananchi akiwataka kushiriki katika kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji kuhu akisema: “Tutaendelea kuwachulia hatua kali za kisheria wote watakabainika kuhusika katika vitendo hivi vya kikatili kwa jamii zetu kwa kisingizio cha wivu wa mapenzi na mengineyo.”

Kwa upande wa Hamis Millanzi ambaye ni Mwenyekiti wa kijiji hicho, amesema: “Nilipewa taarifa na mgambo wa kijiji, nilipofika nilikuta mhanga akiwa anavuja damu miguuni hivyo nilazimika kumuwahisha zahanati ya kijiji ambapo alipewa huduma ya kwanza.”

Mwenyekiti huyo aliendelea kueleza: “Hawa wanandoa wamekuwa wakipigana mpaka wanaumizana kuna wakati huyu mwanaume alichoma moto nyumba wanayoishi, sasa amemjeruhi mkewe, nilishatoa taarifa kwa Mtendaji wa Kata ili tutoe taarifa kwa Jeshi la Polisi.”

Mwanamke aliyejeruhiwa (jina linahifadhiwa) amesema kuwa wivu wa mapenzi umekuwa sababu kubwa ya mumemwe kumfanyia matukio mabaya ikiwemo kuchomwa sehemu za siri.

“...nilipoingia ndani nikamkuta amesimama akanishika shingoni na kuanza kunipiga mpaka nikazimia ambapo kelele za watoto ndio zilileta watu nyumbani na kunisaidia, hataki niende hata chooni ana wivu yaani hata hapa kaniacha peke yangu kwa kuwa yuko Polisi,” amesema mwanamke huyo na kuongeza;

“Kuna wakati ananipiga hadi ananichoma sehemu ya siri, sio mara moja nimekuwa nikimshitaki kwa mwenyekiti, tunasuruhiswa na kusameheana, hii ni ndoa yangu ya tatu, sikutaka kuhangaika ndio maana nilikuwa namsamehe mume wangu, sema ana wivu sana hata shambani nasindikizwa, chooni nasindikizwa.”

Kwa upande wake Sadam Madai Daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Newala amesema kuwa walimpokea mgojwa huyo akitokea Zahanati ya Makong’onda ambapo walimpatia matibabu ya awali na kwamba anaendelea vizuri na matibabu.

MWANANCHI
Polisi hawapo fair hata kidogo.

Ina maana eneo hilo hakuna raia wenye hasira kali?
 
Pumbavu, mbona wewe hata baada ya kugegedwa makalio unaendelea kukata gogo japo kwa shida shida.
Jifunze kuheshimu wenzako mbwa wewe.
Mbona hasira mkuu kwani kuna neno gani hapo nililoandika lenye kuvunja heshima. Sio kwamba siwezi kukutusi ila nakuona mjinga kuweka hisia kali kwenye jambo linaloletwa jukwaani. Jifunze heshima ndipo uone wapi watu hawaheshimiwi.

NB: siiogopi ban nimechagua kukuheshimu kama ulivyoona sina heshima
 
Kama ni wivu basi wamsamehe,huyo anampenda sana mkewe mpaka anaumwa,au wivu nao ni kosa kwenye mahusiano,na huyo dada naye ili awe salama apunguze manjonjo...?
 
Sawasawa.Mara nyingine awe anawahi kurudi kwa mumewe akimaliza kilichompeleka kwa majirani.Wivu ni hatari.Halafu, mwanamke huyo aache uongo/kimdomo.Anaeleza kwamba jamaa ana wivu hadi huwa hataki hata aende uani!Na alipoenda kutwanga kisamvu ni nani alimruhusu?Aache "utunduutundu" wa kupotea mazima hadi anadundwa.
Umewaza kama mimi huyo bibie nae muongo muongo na kamdomo nanukuu" ana wivu hadi ananisindikiza chooni" wazee huo sio wivu ni ugonjwa wa akili na wanawake wa huko kwa mdomo hawajambo NB amefanyiwa unyama sana napinga kwa nguvu zote
 
Mbona hasira mkuu kwani kuna neno gani hapo nililoandika lenye kuvunja heshima. Sio kwamba siwezi kukutusi ila nakuona mjinga kuweka hisia kali kwenye jambo linaloletwa jukwaani. Jifunze heshima ndipo uone wapi watu hawaheshimiwi.

NB: siiogopi ban nimechagua kukuheshimu kama ulivyoona sina heshima
Huyo mama yuko kwenye maumivu wewe unaleta za kukata gogo! Unaona ni neno la heshima, kama ni la heshima muulize mkeo kama leo kakata gogo. Jifunze kutumia lugha ya staha wakati wa maumivu.
 
NI VILE WANAUME SIO WASEMAJI SANA.
MWANAUME HUYU ANAZIJUA NYENDO ZA MWANAMKE,
HAJAPEWA NAFASI YA KUYASEMA YAKE.

MKE WAKE NI MKE WETU.

EBU SOMA HII
Baada ya kukaa huko kwa muda akitwanga kisamvu hicho mumewe alihisi kuwa mkewe ameenda kwa mwanaume mwingine, ,”
 
Hivi mtu akimwoa mwingine anakuwa na haki hata ya kumwua au wenzetu wanapendapendaje jamani
 
Hii ni ndoa ya tatu tatizo lilianzia hapo ..... ukijaribu kufuatilia kwa undani huyo jamaa ana sababu za kufanya ivo ..... ingawa siungi mkono swala la ukatili wa aina yeyote kwa namna yeyote ile ..... ila ukweli utabaki pale pale hapo hakuna mwanamke , swali ndoa ya kwanza ina watoto wa ngapi , na ya pili je, na hii ya tatu
 
nilipoingia ndani nikamkuta amesimama akanishika shingoni na kuanza kunipiga mpaka nikazimia ambapo kelele za watoto ndio zilileta watu nyumbani na kunisaidia, hataki niende hata chooni ana wivu yaani hata hapa kaniacha peke yangu kwa kuwa yuko Polisi,” amesema mwanamke huyo na kuongeza;
Mwanaume asiye na hela na asiyetaka kujishughulisha huwa anajiajiri kwenye wivu wa mapenzi.

Kitu pekee anachoweza kumfurahisha Mke ni ngono. Hivyo anajikuta anakuwa mtumwa na shetani wa ngono.

Kama una kazi z akufanya huo muda wa kumfata fata mke unautoa wapi?

Na hii ni dalili ya uvivu
 
Hii ni ndoa ya tatu tatizo lilianzia hapo ..... ukijaribu kufuatilia kwa undani huyo jamaa ana sababu za kufanya ivo ..... ingawa siungi mkono swala la ukatili wa aina yeyote kwa namna yeyote ile ..... ila ukweli utabaki pale pale hapo hakuna mwanamke , swali ndoa ya kwanza ina watoto wa ngapi , na ya pili je, na hii ya tatu
Sasa unapoa mke waliyeolewa ndoa ya kwanza na ya pili na ya kwako ya Tatu we kweli Mwanaume una akili?
 
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Makong’onda, wilayani Masasi, Mkoa wa Mtwara, akituhumiwa kumpiga mkewe kisha kumuingizia panga sehemu za siri (njia ya haja kubwa) na kumsababishia majeraha.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 14, 2023; Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema kuwa tukio hilo limetokea Oktoba 8 saaa moja jioni katika Kijiji cha Makong’onda.

Kabla ya tukio hilo, Kamanda huyo ameeleza kuwa mtuhumiwa pamoja na mkewe, walikuwa katika shughuli zao za kuokota korosho, kaada ya hapo, mwanamke huyo alikwenda kwa binamu yake kutwanga kisamvu ambapo ni eneo la jirani na wanapoishi.

“Baada ya kukaa huko kwa muda akitwanga kisamvu hicho mumewe alihisi kuwa mkewe ameenda kwa mwanaume mwingine, baada ya kurejea alianza kumshambulia hadi mwanamke huyo kupoteza fahamu,” amesema Kamnda Katembo na kuongeza;

“Baada ya kipigo hicho, inadaiwa mtuhumiwa alichukua panga na kumuingizia sehemu ya haja kubwa na hivyo kusababisha majeraha. Hata hivyo muhanga huyo sasa anandelea vizuri baada ya kupata matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Newala.”

Kamanda huyo alitoa rai kwa wananchi akiwataka kushiriki katika kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji kuhu akisema: “Tutaendelea kuwachulia hatua kali za kisheria wote watakabainika kuhusika katika vitendo hivi vya kikatili kwa jamii zetu kwa kisingizio cha wivu wa mapenzi na mengineyo.”

Kwa upande wa Hamis Millanzi ambaye ni Mwenyekiti wa kijiji hicho, amesema: “Nilipewa taarifa na mgambo wa kijiji, nilipofika nilikuta mhanga akiwa anavuja damu miguuni hivyo nilazimika kumuwahisha zahanati ya kijiji ambapo alipewa huduma ya kwanza.”

Mwenyekiti huyo aliendelea kueleza: “Hawa wanandoa wamekuwa wakipigana mpaka wanaumizana kuna wakati huyu mwanaume alichoma moto nyumba wanayoishi, sasa amemjeruhi mkewe, nilishatoa taarifa kwa Mtendaji wa Kata ili tutoe taarifa kwa Jeshi la Polisi.”

Mwanamke aliyejeruhiwa (jina linahifadhiwa) amesema kuwa wivu wa mapenzi umekuwa sababu kubwa ya mumemwe kumfanyia matukio mabaya ikiwemo kuchomwa sehemu za siri.

“...nilipoingia ndani nikamkuta amesimama akanishika shingoni na kuanza kunipiga mpaka nikazimia ambapo kelele za watoto ndio zilileta watu nyumbani na kunisaidia, hataki niende hata chooni ana wivu yaani hata hapa kaniacha peke yangu kwa kuwa yuko Polisi,” amesema mwanamke huyo na kuongeza;

“Kuna wakati ananipiga hadi ananichoma sehemu ya siri, sio mara moja nimekuwa nikimshitaki kwa mwenyekiti, tunasuruhiswa na kusameheana, hii ni ndoa yangu ya tatu, sikutaka kuhangaika ndio maana nilikuwa namsamehe mume wangu, sema ana wivu sana hata shambani nasindikizwa, chooni nasindikizwa.”

Kwa upande wake Sadam Madai Daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Newala amesema kuwa walimpokea mgojwa huyo akitokea Zahanati ya Makong’onda ambapo walimpatia matibabu ya awali na kwamba anaendelea vizuri na matibabu.

MWANANCHI

Watanzania wengi wana magonjwa ya akili
 
Back
Top Bottom