Anataka nimsamehe turudi kama zamani

Yaani huyu atakuwa anafundisha chuo cha mahouse girl, malecturer wa vyuo vikuu hawako hivyo
 
Habarini wana jamvi,kuna demu alikua mwanafunzi wangu wa chuo mwaka jana nlidate nae sana ila wivu ukazidi nikaamua kumpiga chini akaanza matusi ya hapa na pale sikumjibu sasa juzi kanitafuta na kuomba samahani sana eti kanimiss sana hasa ninavyomkunja na kumsugua kitandani anataka turudiane na anaomba nimsamehe sasa nawaza nimsamehe au niendeleze ukauzu asije kuwa kaja kuniroga
Hivi vyuo vya siku hizi kama wewe ni lecturer basi kama Taifa tumepata hasara aise wewe ni bwege wa mchana nasikitika umekua bwege wa kufungulia mwaka.
 
Labda bwanake amemtema baada ya kumaliza chuo na kugundua alikuwa anahudumia wengi huko.
So amekuchagua wewe.....
 
Back
Top Bottom