Anataka nimsamehe turudi kama zamani

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Habarini wana jamvi,kuna demu alikua mwanafunzi wangu wa chuo mwaka jana nlidate nae sana ila wivu ukazidi nikaamua kumpiga chini akaanza matusi ya hapa na pale sikumjibu sasa juzi kanitafuta na kuomba samahani sana eti kanimiss sana hasa ninavyomkunja na kumsugua kitandani anataka turudiane na anaomba nimsamehe sasa nawaza nimsamehe au niendeleze ukauzu asije kuwa kaja kuniroga
 
Hivi ni kuroga au kuloga? kuna shida kubwa sana ya matumizi ya R na L kwa watoto wa new millennium
 
Habarini wana jamvi,kuna demu alikua mwanafunzi wangu wa chuo mwaka jana nlidate nae sana ila wivu ukazidi nikaamua kumpiga chini akaanza matusi ya hapa na pale sikumjibu sasa juzi kanitafuta na kuomba samahani sana eti kanimiss sana hasa ninavyomkunja na kumsugua kitandani anataka turudiane na anaomba nimsamehe sasa nawaza nimsamehe au niendeleze ukauzu asije kuwa kaja kuniroga
madanyengine sio za kuomba ushauri kamahizi unamaliza mwenyewe hukohuko
zipo za kuomba Ushauri kwa hili hapana.
 
acha kabisa tabia ya kiwasugua mabinti sio vizuri.. mkuu..!

halafu pia acha ushirikina (nadhani, umenielewa what am talking about)
 
Hana mapenzi ya kweli huyo, bali anaona uwezekanao wa ajira haupo na maisha magumu, hivyo kama hukuwa dume suruali ndio maana anajisogeza ili uweze kumvusha katika kipindi hiki kigumu.

Anko Magu endelea kukaza uzi, mpaka wale ambao walibet kuwa hatutawagegeda warudi wenyewe bila shuruti
 
ndio maana malimbikizo hatuwalipi......et lekchaaaaaar......kichaaa wewe..... watoto wetu jamani....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom