Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mifumo mingine ni mibovu sana katika jamii zetu. He impregnated you, left you for other women, you've raised a great young man, then all of a sudden anakuja kutaka kuishi na mtoto, just like that? No, hilo halikubaliki hata kidogo, he has to bear the burden you you went through, hata mila zetu zinataka hivyo.
Sheria za kimila zinamtaka huyo jamaa alipe fidia ili dogo awe rightfully his, hawezi kupata mtoto kirahisi tu. I stand with you mleta mada.
Sipendagi mwandiko wa herufi kubwa sijui kwanini![emoji24] [emoji24]HEHEHEH...PINGA KWA HOJA MKUU...KEJELI HAZITAWEZA KUPINGA HOJA...USIFUATE TAFSIRI ZILIZOWEKWA NA WATU KAMA WEWE KUWA HERUFI KUBWA BASI INAMAANISHA NI KUPAYUKA..NI NAMNA NIMEAMUA TU KATIKA UANDISHI..KAMA INAKUBOA..SIMPLE..JUST SKIP IT..[emoji12] [emoji12] [emoji12] BRRRRRRRRRRRR
KINGINE...SIFA YA UTAWALA KATIKA NDOA NI MFUMO DUME...NYUMBA YENYE MFUMO JIKE UTII HAUPO NA FAMILIA INAKOSA MAADILI...
NDIO MAANA CHUNGUZA HATA WASANII WENGIIIII WA MUZIKI ,KUIGIZA N.K UTAMSIKIA AKISEMA MUDA MWINGI "WITHOUT MY MOM I WOULDNT BE HERE TODAY,THANKS MY MOM"....HII HAINAMIISHI WALIKUWA HAWANA KINA BABA..MANAKE KINA BABA WALIKUWA HAWATAKI UPIMBI MTOTO AJIINGIZE KWENYE RAP, NK BADALA YA KWENDA KUSOMA...SASA KINA MAMA NDIO WANASUPPORT HARAKATI ZOOTE AMBAZO ZINA UTOVU WA KIMAADILI..
CHUNGUZA HAO WASANII..UTAKUTA IMEJICHORA MITATTOO YA MAJINA YA MAMA ZAO..LAKINI HUKUTI JINA LA BABA PALE..SABABU UJINGA HAWAPENDI..KWAHIYO NIHITIMISHE KWA KUSEMA MFUMO DUME NI SAHIHI KWA AFYA YA FAMILIA.
MATUSI MWIKO..PINGA KWA HOJA WALAU UTAELEWEKA [emoji13]
Daahhh alafu uyo mwanamme, unanmpemda sana toka moyoni licha kwamba alikutekeleza lkn still unampenda mnoo.Habari za mida wanabodi
Nikiri tu mimi ni member mzuri sana wa JF.Ok tuache soga ndefu,ni hivi kuna mwanaume nilizaa nae kitambo kiasi na baada ya mtoto kuzaliwa tu akanipotezea mimi na mwanangu.Bt hey tembo hashindwi na mkonga wake nikamlea mwanangu peke yangu since mimba hadi saivi akiwa kijana flan amazing,ana afya bora,ana akili sana,etc
Niliamua kufanya hivyo baada ya yeye kujitenga na kutonisupport kwa lolote si mimi wala mwanangu.Nikaacha kumuomba matumizi na kadhalika in short nilikata mawasiliano naye kabisa.mwanzo nilikuwa namsihi aniboost hata matumizi ya mtoto akagoma,so nikafanya maamuzi magumu,nikamwacha aendelee na maisha yake na nikawa single mom rasmi and am proud of that.
At the moment mimi na my prince we are ok,ana afya bora thanks to my GOD,and mimi pia nina mahusiano na mtu mwingine tayari and we are happy.
Ishu niliyoileta mhusika,baba wa mwanangu ameanza kufanya mawasiliano,its ok ukizingatia niko na mwanae.tatizo ananisihi nimpe mwanangu anisaidie kulea,ila naona kama trick ya kutaka kumchukua kijana wangu jumla.
Mara zote nimemwambia subiri atimize miaka saba then afate taratibu za kisheria amchukue.Anadai amemmiss mwanae anataka kuishi naye na hatonizuia kumuona.funny !!!mtu ambaye hajawahi toa hata mia ya chakula cha mwanae leo anaona ana haki ya kuchukua furaha yangu.ukizingatia ana kipato kizuri tu.
Amenambia kama ni mtoto mwingine atanipa,ila mie nimemjibu siko tayari kuzaa naye tena.Kwani alinitelekeza mimi na mwanangu.huko aliko azae mtoto mwingine ama wengine huyu nataka nimlee mwenyewe .He is my joy,life and prestige(my son,my little man).
Naombeni ushauri kwakuwa najua jamaa anataka kumchukua mwanangu mazima.jambo ambalo siko tayari.nashukuru Mungu nina ka uwezo ka kumlea.ikifika muda nikashindwa nitampa kwa ridhaa yangu,kwani naangalia maslahi mapana ya mwanangu .Ila kwa sasa sijashindwa,nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.
Na sina mpango wa kuzaa tena,maumivu aliyonipitisha yamenifunza .Wanasema mjinga wakati wa kwenda .karibuni wadau,nahitaji mawazo yenu kwa hakika .
Siyo miaka saba mkuu??ninavyojua mtoto chini ya miaka kumi anatakiwa kukaa na mama
unless kuwe na sababu zingine
Ukifanya hivyo utakuwa humkomoi jamaa, bali unamkomoa mtoto. Na siku motto akija kuwa mkubwa akaujua ukweli mama utachukiwa na kukimbiwa na mtoto mazimaDada zetu bwana.
Kwahiyo hapo unasema mtoto ana baba wakati hajawahi toa hata kilo moja ya sukari ya uji wa mtoto.
Ningekuwa ndio mimi huyo jamaa asahau kama ana mtoto.
Ila dada zetu mna huruma sana.
Hapana afande, mtoto asipewe adhabu ya kutenganishwa na baba yake kwa ujinga wa mama na babake.Dah too much sasa....baba jina..hakuna baba wa hivo ...bora mtoto amtafute baba na usizuie ila sio kumpa mtoto wakati hata hakutunza
kijana hana ugomvi wowote na baba yake tatizo lipo kwenuu wazaz mtoto anahaki kutambua baba yake.... tuliza munkar kaeni mjadili future ya kijana kwan iwe isiwe mtoto atamhitaji baba yake in near future kosa limesha tokea na hapa unaleta upande mmoja wa tatizo what if wwe ndio ulikuwa kivuruge since thenNo si ubinafsi,naangalia maslahi mapana ya mwanangu.at least atimize umri wa kujitambua,ndio kwanza ana miaka 3.isitoshe sijawahi mnyima kumwona, pamoja na hayo mwanzoni alinambia yeye hakuwa na mpango wa kuzaa,so hilo ni langu nilibebe,nikalibeba.nikakubali majukumu kama mwanamke na mama.leo imekuwaje?imagine mtu anakuja mwona mwanae hata machungwa tu hamletei?atajali malezi na makuzi ya huyu mtoto kweli?yeye anamwona kanona anadhani ni muujiza,malezi ni kujitoa na kujikana.
Pole dada ila mbona kama uzidisha confusion umesema una mtu tayari the sametime unasema huyo ulie zaa nae anataka mzae tena sasa inakuwaje tayari una mtu huku unampana nafasi ya kukurudiaHabari za mida wanabodi
Nikiri tu mimi ni member mzuri sana wa JF.Ok tuache soga ndefu,ni hivi kuna mwanaume nilizaa nae kitambo kiasi na baada ya mtoto kuzaliwa tu akanipotezea mimi na mwanangu.Bt hey tembo hashindwi na mkonga wake nikamlea mwanangu peke yangu since mimba hadi saivi akiwa kijana flan amazing,ana afya bora,ana akili sana,etc
Niliamua kufanya hivyo baada ya yeye kujitenga na kutonisupport kwa lolote si mimi wala mwanangu.Nikaacha kumuomba matumizi na kadhalika in short nilikata mawasiliano naye kabisa.mwanzo nilikuwa namsihi aniboost hata matumizi ya mtoto akagoma,so nikafanya maamuzi magumu,nikamwacha aendelee na maisha yake na nikawa single mom rasmi and am proud of that.
At the moment mimi na my prince we are ok,ana afya bora thanks to my GOD,and mimi pia nina mahusiano na mtu mwingine tayari and we are happy.
Ishu niliyoileta mhusika,baba wa mwanangu ameanza kufanya mawasiliano,its ok ukizingatia niko na mwanae.tatizo ananisihi nimpe mwanangu anisaidie kulea,ila naona kama trick ya kutaka kumchukua kijana wangu jumla.
Mara zote nimemwambia subiri atimize miaka saba then afate taratibu za kisheria amchukue.Anadai amemmiss mwanae anataka kuishi naye na hatonizuia kumuona.funny !!!mtu ambaye hajawahi toa hata mia ya chakula cha mwanae leo anaona ana haki ya kuchukua furaha yangu.ukizingatia ana kipato kizuri tu.
Amenambia kama ni mtoto mwingine atanipa,ila mie nimemjibu siko tayari kuzaa naye tena.Kwani alinitelekeza mimi na mwanangu.huko aliko azae mtoto mwingine ama wengine huyu nataka nimlee mwenyewe .He is my joy,life and prestige(my son,my little man).
Naombeni ushauri kwakuwa najua jamaa anataka kumchukua mwanangu mazima.jambo ambalo siko tayari.nashukuru Mungu nina ka uwezo ka kumlea.ikifika muda nikashindwa nitampa kwa ridhaa yangu,kwani naangalia maslahi mapana ya mwanangu .Ila kwa sasa sijashindwa,nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.
Na sina mpango wa kuzaa tena,maumivu aliyonipitisha yamenifunza .Wanasema mjinga wakati wa kwenda .karibuni wadau,nahitaji mawazo yenu kwa hakika .
You are his biological mother as well as he is a biological fatherNo si ubinafsi,naangalia maslahi mapana ya mwanangu.at least atimize umri wa kujitambua,ndio kwanza ana miaka 3.isitoshe sijawahi mnyima kumwona, pamoja na hayo mwanzoni alinambia yeye hakuwa na mpango wa kuzaa,so hilo ni langu nilibebe,nikalibeba.nikakubali majukumu kama mwanamke na mama.leo imekuwaje?imagine mtu anakuja mwona mwanae hata machungwa tu hamletei?atajali malezi na makuzi ya huyu mtoto kweli?yeye anamwona kanona anadhani ni muujiza,malezi ni kujitoa na kujikana.
Nahic kuna jambo ulimfanyia baya so why ali withdrawAkifikisha umri wa kujitambua,sijamnyima kumwona mwanae,yeye kujiweka pembeni na kuishia kuchukua picha za mwanangu wattsup,bila kujua anakula nn wala anavaa nn hakumpi haki kumchukua eti kisa amependeza na anaona sasa wamefanana kama mapacha.
But you're building a boundary btw your son and his fatherNdio mwanangu,is my prince,my hero,my happiness and everything.Nampenda sana hata mwenyewe anajua.i always tell him son i love you naye kanajibu i love you too mom.halafu kako smart na charming sana.zote ni baraka za mwenyezi Mungu.
Hata simba ni mkali ana makucha na meno ila anazaa calm downKwanza mimi endapo umezaa na mimi halafu hatujaoana poa ila uhakikishe matumizi ya mwanao unatuma kama hutumi mawasiliano na mimi sahau hadi ufe, mwenye damu yako humtunzi unaanzaje kunizoea mimi ni ndugu yako?? Subiri aote ndevu mkutane barabarani maana hata upige simu na sms mara 10000000 sipokei sijibu hadi uwe responsible father tena awamu hii ya tano ni #hapakazitu# [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Punguza hasira dada yote hayo utafanya ila mtoto atabiki kuwa baba mmoja tu huyo alie kupa hiyo mimba na sio kaka yakoUnafkiri ubaba ni uwezo wa kutoa mbegu tu na kuzalisha then ukimbie?chaaaa yaani kwanza baba asiyehudumia mwanangu nabadilisha mpaka jina la ukoo analotumia atatumia la kwangu na kingine hakuna ugumu mm kumwambia ww ulishakufa kitambo
I also smell something fishy, Old Pussy on demand, Huh..Malezi mazuri ya mtoto ni kutoka kwa wazazi wote wawili...
Even after all what the dude has made you go through, you sound still loving the dude...
Kukupa ushauri ni ngumu kwa sababu bado unampenda huyo jamaa..
Cc: mahondaw
Vipi kuhusu huyu jamaa wako wa sasa? Is he not jealous of the fact that you get in touch with your Ex whenever you want to? Any pre described conditions so far?? because I know for sure they're always misunderstanding unless otherwise he is not into you per seNo si ubinafsi,naangalia maslahi mapana ya mwanangu.at least atimize umri wa kujitambua,ndio kwanza ana miaka 3.isitoshe sijawahi mnyima kumwona, pamoja na hayo mwanzoni alinambia yeye hakuwa na mpango wa kuzaa,so hilo ni langu nilibebe,nikalibeba.nikakubali majukumu kama mwanamke na mama.leo imekuwaje?imagine mtu anakuja mwona mwanae hata machungwa tu hamletei?atajali malezi na makuzi ya huyu mtoto kweli?yeye anamwona kanona anadhani ni muujiza,malezi ni kujitoa na kujikana.
Ndio huyu jamaa unaetaka kuolewa nae tena....Habari za mida wanabodi
Nikiri tu mimi ni member mzuri sana wa JF.Ok tuache soga ndefu,ni hivi kuna mwanaume nilizaa nae kitambo kiasi na baada ya mtoto kuzaliwa tu akanipotezea mimi na mwanangu.Bt hey tembo hashindwi na mkonga wake nikamlea mwanangu peke yangu since mimba hadi saivi akiwa kijana flan amazing,ana afya bora,ana akili sana,etc
Niliamua kufanya hivyo baada ya yeye kujitenga na kutonisupport kwa lolote si mimi wala mwanangu.Nikaacha kumuomba matumizi na kadhalika in short nilikata mawasiliano naye kabisa.mwanzo nilikuwa namsihi aniboost hata matumizi ya mtoto akagoma,so nikafanya maamuzi magumu,nikamwacha aendelee na maisha yake na nikawa single mom rasmi and am proud of that.
At the moment mimi na my prince we are ok,ana afya bora thanks to my GOD,and mimi pia nina mahusiano na mtu mwingine tayari and we are happy.
Ishu niliyoileta mhusika,baba wa mwanangu ameanza kufanya mawasiliano,its ok ukizingatia niko na mwanae.tatizo ananisihi nimpe mwanangu anisaidie kulea,ila naona kama trick ya kutaka kumchukua kijana wangu jumla.
Mara zote nimemwambia subiri atimize miaka saba then afate taratibu za kisheria amchukue.Anadai amemmiss mwanae anataka kuishi naye na hatonizuia kumuona.funny !!!mtu ambaye hajawahi toa hata mia ya chakula cha mwanae leo anaona ana haki ya kuchukua furaha yangu.ukizingatia ana kipato kizuri tu.
Amenambia kama ni mtoto mwingine atanipa,ila mie nimemjibu siko tayari kuzaa naye tena.Kwani alinitelekeza mimi na mwanangu.huko aliko azae mtoto mwingine ama wengine huyu nataka nimlee mwenyewe .He is my joy,life and prestige(my son,my little man).
Naombeni ushauri kwakuwa najua jamaa anataka kumchukua mwanangu mazima.jambo ambalo siko tayari.nashukuru Mungu nina ka uwezo ka kumlea.ikifika muda nikashindwa nitampa kwa ridhaa yangu,kwani naangalia maslahi mapana ya mwanangu .Ila kwa sasa sijashindwa,nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.
Na sina mpango wa kuzaa tena,maumivu aliyonipitisha yamenifunza .Wanasema mjinga wakati wa kwenda .karibuni wadau,nahitaji mawazo yenu kwa hakika .
Yes,for my sons sakeNdio huyu jamaa unaetaka kuolewa nae tena....
Not Love?Yes,for my sons sake