Habari za mida wanabodi
Nikiri tu mimi ni member mzuri sana wa JF.Ok tuache soga ndefu,ni hivi kuna mwanaume nilizaa nae kitambo kiasi na baada ya mtoto kuzaliwa tu akanipotezea mimi na mwanangu.Bt hey tembo hashindwi na mkonga wake nikamlea mwanangu peke yangu since mimba hadi saivi akiwa kijana flan amazing,ana afya bora,ana akili sana,etc
Niliamua kufanya hivyo baada ya yeye kujitenga na kutonisupport kwa lolote si mimi wala mwanangu.Nikaacha kumuomba matumizi na kadhalika in short nilikata mawasiliano naye kabisa.mwanzo nilikuwa namsihi aniboost hata matumizi ya mtoto akagoma,so nikafanya maamuzi magumu,nikamwacha aendelee na maisha yake na nikawa single mom rasmi and am proud of that.
At the moment mimi na my prince we are ok,ana afya bora thanks to my GOD,and mimi pia nina mahusiano na mtu mwingine tayari and we are happy.
Ishu niliyoileta mhusika,baba wa mwanangu ameanza kufanya mawasiliano,its ok ukizingatia niko na mwanae.tatizo ananisihi nimpe mwanangu anisaidie kulea,ila naona kama trick ya kutaka kumchukua kijana wangu jumla.
Mara zote nimemwambia subiri atimize miaka saba then afate taratibu za kisheria amchukue.Anadai amemmiss mwanae anataka kuishi naye na hatonizuia kumuona.funny !!!mtu ambaye hajawahi toa hata mia ya chakula cha mwanae leo anaona ana haki ya kuchukua furaha yangu.ukizingatia ana kipato kizuri tu.
Amenambia kama ni mtoto mwingine atanipa,ila mie nimemjibu siko tayari kuzaa naye tena.Kwani alinitelekeza mimi na mwanangu.huko aliko azae mtoto mwingine ama wengine huyu nataka nimlee mwenyewe .He is my joy,life and prestige(my son,my little man).
Naombeni ushauri kwakuwa najua jamaa anataka kumchukua mwanangu mazima.jambo ambalo siko tayari.nashukuru Mungu nina ka uwezo ka kumlea.ikifika muda nikashindwa nitampa kwa ridhaa yangu,kwani naangalia maslahi mapana ya mwanangu .Ila kwa sasa sijashindwa,nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.
Na sina mpango wa kuzaa tena,maumivu aliyonipitisha yamenifunza .Wanasema mjinga wakati wa kwenda .karibuni wadau,nahitaji mawazo yenu kwa hakika .