amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 907
Kuna jamaa mtaani kwetu amejitoa mhanga kuoa CHANGUDOA a.k.a KAHABA huku anajua vizuri mwanamke huyo alivyo na ameshauriwa mara nyingi na watu wa rika mbalimbali wenye busara kuwa aachane na huyu mwanamke lakini jamaa ammeshikilia msimamo wake wa kutaka kumuoa. Je, ni changamoto zipi atakumbana nazo ktk maisha yake ya ndoa na huyo CHANGUDOA?