Anataka kuoa CHANGUDOA, ni CHANGAMOTO zipi atakumbana nazo katika Maisha yake ya NDOA?

eti kuna jamaa mtaani kwetu????????? sema ni we mwenyewe mpuuzi mkubwa wewe kwani unafikiri tutakupiga, mtu mwenyewe hatukuju. unakuwa kama madame b bwana, anasaga watu afu anakataa kuwa hatoi hiyo huduma.

jamani mwacheni madam wa watu aanze mwaka kwa amani si alikanushaga hizo tuhuma
 
eti kuna jamaa mtaani kwetu????????? sema ni we mwenyewe mpuuzi mkubwa wewe kwani unafikiri tutakupiga, mtu mwenyewe hatukuju. unakuwa kama madame b bwana, anasaga watu afu anakataa kuwa hatoi hiyo huduma.
Jazba na matusi ya nini mkuu? Hapa ni mahali pa kujadili hoja si mahali pa kushambuliana, ukiona huna cha kuchangia unatulia tu. Mbona wenzako wanachangia vizuri tu kila mtu kwa mtazamo wake! Wewe tatizo lako nini hasa?
 
Kuna jamaa mtaani kwetu amejitoa mhanga kuoa CHANGUDOA a.k.a KAHABA huku anajua vizuri mwanamke huyo alivyo na ameshauriwa mara nyingi na watu wa rika mbalimbali wenye busara kuwa aachane na huyu mwanamke lakini jamaa ammeshikilia msimamo wake wa kutaka kumuoa. Je, ni changamoto zipi atakumbana nazo ktk maisha yake ya ndoa na huyo CHANGUDOA?

Inawezekana askutane nachangamoto, akaendelea kulabata zaidi hatanyie mlioowa mkizani wameturia.
 
Kuna jamaa mtaani kwetu amejitoa mhanga kuoa CHANGUDOA a.k.a KAHABA huku anajua vizuri mwanamke huyo alivyo na ameshauriwa mara nyingi na watu wa rika mbalimbali wenye busara kuwa aachane na huyu mwanamke lakini jamaa ammeshikilia msimamo wake wa kutaka kumuoa. Je, ni changamoto zipi atakumbana nazo ktk maisha yake ya ndoa na huyo CHANGUDOA?
1. Kila akitoka mkewe atahisi anakwenda kwa machangudo, hasa usiku
2. Kila akirudi amelewa atahisiwa kuwa aliwalewesha na machangudoa kadhaa
3. Etc
 
Best upo? heri ya Christmas........ Yah sure hakuna changamoto maadam changudoa kakubali kuolewa, mara nying wakiolewa huwa wanabadilika tabia so aoe tu

nipo...mzima wewe? ah wee hiyo ya kubadilika tabia mie i doubt it
 
times changes bana , listen i'm not sure huyo alikuwa anafanya uchangu ili kukidhi mahitaji au la but , the problem of you men you like sleeping with different gals just for the seek of pleasure , whilst gals seek for relationship the solid one for commitment which is quite contrary to what most men want , but time changes changu anaweza kubadilika kama jamaa kampenda amuoe tu
 
kwanza kabisa, wewe na hao watu wa rika mbalimbali 'wenye busara' muache maramoja ubaguzi! Neno la Allah lipo kwa ajili yetu wenye dhambi lituokoe na si watakatifu waokoke. Hata Yesu mnazareti alikaa na kula na wezi na makahaba bila kujishtukia!
Na pia fahamu kua mbingu hulipuka kwa furaha kila mwenye dhambi mmoja akitubu.
nadhani umeelewa..
changamoto ni sehemu ya maisha na zipo nyingi, hivyo hatuna budi kukabiliana nazo kwa hekima na sala.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom