babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,313
- 20,904
Ushauri sio kumdelete jamaa,kama mke kicheche atachukua mwingine.na jamaa yako atakua na kazi ya kudelete watu tu kama hajaishia jela.mwambie dawa ni kumfukuzilia mbali huyo mke kimeo
mi naona kaamua kumtishia kwa design hii. atawaua wangapi?
solution mi naona ni kumuua mkewe, lol!
asante kwa warning mpendwa.....Mpendwa FP, dhambi zote huanza kwa mawazo, kisha maneno na mwisho vitendo. Naamini hata vyombo vya usalama vitakuwa vimeliona hili kwa ajili ya kulinda maisha ya watu. Whether ni biti au ni kweli, lakini ujumbe huu unamadhara sana kwenye jamii na mhusika mwenyewe. Acheni kutembea na wake za watu na nyie wanawake acheni umapepe, utauawa na hao wanzinzi wenu. Watu wote ni vichaa dunia isipokuwa tunatofautia kwa viwango na mazingiria yanayochochea vichaa vyetu.
Huyu jamaa ni Mbabe (Deodatus Marcus) mwacheni aendelee tu tena amzalishe kwani mwenye mali ni ----- kwa nini umng'anga'anie mtu mwenye meno 32 halafu ukamuue mwanamume mwenzako, akifa mama anaendelea na wengine faida iko wapo?Deodatus Marcus - 0754 275170 saidieni kumwambiea mwanaume mwenzenu,
kwani tutapata nini akikufa.
Mke wa mtu sumu........ atakojoa dagaa...
mimi mwenyewe nipo ndani ya ndoa ila kuna kaka nampenda saaaaana, na tumekuta toka niko na mume wangu kama wachumba, na kweli tunapendana... kwa hiyo katika maisha mambo hayo yapo, sema unakula kwa step usijiachie, na kila siku nikujikumbusha kwamba upo ndani ya ndoo, so mipaka muhimu, kwa mfano muwe na mida ya kuwasiliana na msg katika simu hazikubaliki.... ukienda ivyo utadumu sana na wapembeni...
Huyu Deodatus Marcus (number verified through M-PESA) ndio wa kudeal nae mtafutie watu wamle TIGO then mke mrudishe kwao akajifikirie akishindikana piga chini KUUA HAPANA
Ni jamaa yangu, kanipigia simu kaniita bar. Nilipofika kanieleza yaliyoko moyoni.
Miaka kama minne nyuma aligundua kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na jamaa mmoja. Akaendelea kuchunguza akagundua ni kweli akamuonya mkewe. Siku moja akiwa safarini kwenye basi, akampigia mkewe na kisha akampigia jamaa akagundua kuwa wako pamoja. Akamuonya mkewe na badaye akamtumia jamaa message kali. Aliporudi safari ugomvi ukawa mkali kati yake na mkewe huku mkewe akiwa anakataa kuwa na mahusiano na huyo bwana. Lakini alipochukua simu ya mkewe na kuichunguza, akagundua ile message aliyomtumia jamaa iko kwenye simu ya mkewe, yaani alimforwadia.Alipomwuliza mkewe hiyo msg ya jamaa imefikaje kweye simu yake akabaki kujikanyanga.
Juzi hapa, jamaa yangu amegundua mahusiano ya wawili hao yanaendelea kama kawaida. Ameamua kumfuatilia mwizi wake kimya kimya na kugundua anakoishi, kazi zake, nyendo zake zote na vijiwe vyake. Tayari ameshafanya utaratibu wa kumdelete na anasubiri utekelezaji tu. Mimi kanishirikisha kama taarifa tu kwa sababu maamuzi anayotaka kuchukua ni magumu. Namnukuu:
"Kiukweli huyu bwana nilimtumia message ya kumuonya, kwa dharau akaiforward kwa mke wangu, Nimeshamfuatilia, anaitwa Deodatus----, picha yake hii hapa (akanionyesha picha), na namba yake ya simu ni 0754 275170 na anaishi.....(akataja mtaa na nyumba)"
Ndugu wana JF Jamaa yangu yuko serious nimeona nililete hapa kwa maoni zaidi!!! Nawasilisha!
Ushauri sio kumdelete jamaa,kama mke kicheche atachukua mwingine.na jamaa yako atakua na kazi ya kudelete watu tu kama hajaishia jela.mwambie dawa ni kumfukuzilia mbali huyo mke kimeo
mimi mwenyewe nipo ndani ya ndoa ila kuna kaka nampenda saaaaana, na tumekuta toka niko na mume wangu kama wachumba, na kweli tunapendana... kwa hiyo katika maisha mambo hayo yapo, sema unakula kwa step usijiachie, na kila siku nikujikumbusha kwamba upo ndani ya ndoo, so mipaka muhimu, kwa mfano muwe na mida ya kuwasiliana na msg katika simu hazikubaliki.... ukienda ivyo utadumu sana na wapembeni...
(2) Kisheria rafiki yako anaweza kufanya mauaji hayo na akatoka huru iwapo atamfumania jamaa red-handed akiwa anammegea mkewe na kumwua on the spot. Kuna vifungu vya sheraia anavyoweza kutumia kujitetea na mambo yakaisha.