Anataka kumuua anayetembea na mkewe, ushauri !!!

Anataka kumuua anayetembea na mkewe, ushauri !!!

huyo mwanamme ni zoba.badala ya kujaribu kusuluhisha ndoa yake,yeye anataka kuua.and then what.kwa sababu anaweza akaenda jela,na huyo mke akatafuta mwengine.ni kama anajikomoa yeye tu.kama ataweza ni bora aachane na huyo mke.
 
hp nakukubali sana.sina la kuongeza
Hapa tatizo mke si mwaminifu, thats all.
Binafsi huwa siungi mkono mambo kama haya lakini nimejikuta najiuulza maswali mengi ya KIPUUZI kama ifuatavyo: Mbona kuna njia nyingi mbadala za kufanya badala ya kuua ina maana hazifahamu?
Kumuua mtu kutamsaidia nini? Akimuua huyo na mkewe kuanza mahusiano na mwingine, naye pia atamuua? Kwanini kuingia dhambi ya kutoa uhai wa mtu kwa kosa la uaminifu wa mkewe? Kwanini kujikuta unatupwa jela na kupoteza au kuharibu future yako na ya watoto wako kwa uzembe tu wa kutokufikiria sawa sawa? Hivi ina maana wanawake wameisha? Kwani ni lazima aendelee naye huyo huyo mkewe?
 
Mi nadhani angemuua mkewe ili aoe mwingine mwaminifu....
huyo tayari si mwaminifu,
akiua huyo atahamia kwa mwingine
naye atamuua
then atahamia kwa mwingine........
huyo nduguyo ajiandae tu kuua watu kibao
 
[QUOTE=FP;6187850]huyo mke wa mtu anambaka?[/QUOTE]

Hata kama anakula kwa makubaliano bado si halali isipokuwa kwa baadhi ya makabila
 
Ha ha ha!watu kwa biti!!hapa aliyeweka hii thread ni mwenye mke afu kaweka na jina na namba ya simu ili kumpiga biti mume mwenzie!!ha ha ha ha ha!
 
::
Ni wazi uamuzi wake hautamsaidia.
Msaada mzuri ni kumwacha mke na kutafuta mwingine.
Adhabu njema kwa mwanamke ni ukimya.
=
 
Deodatus Marcus - 0754 275170 saidieni kumwambiea mwanaume mwenzenu,
kwani tutapata nini akikufa.

Umetisha bidada!!!DEODATUS MARCUS anamega muke ya mutu??!!!!Yaan siku hizi mtu akipata namba,anajua jina,akiingia kwenye social media,anapata hadi mapicha,sehemu unayofanyia kazi....saaafi....sana.....:bange:
 
Kama amafanya utafiti na kugundua hilo hakika ni kumuua tu hakuna haja ya kuishi na adui yako.....Asante

Utakuwa unaenda kumsalimia segerea?
Hapa inahitajika hekima hakuna siri ya watu wawili ...wewe kama rafiki yake msaidie kwa ushauri..
Kutoa roho ya mtu ni kazi jamani ..
Pole kwa kuibiwa na tafuta namna nyingine ya kusolve matatizo yako
 
Huyo ni gaidi akamatwe!
anataka kuua?
 
upande wangu itakuwa ngumu
as simfahamu ataona kama namtilia kitu mbaya

lakini naona kama kuna aina fulani pia ya vitisho,
jamaa mwenye mke anajaribu kumtisha mwenzie,
kwani alimbaka si walikubaliana tu.

tahadhari kashapata, naomba na wewe nisaidie kumwambia ili ajue ni serious case, lol!
King'asti kuna oder ya madera huku
 
Ni jamaa yangu, kanipigia simu kaniita bar. Nilipofika kanieleza yaliyoko moyoni.

Miaka kama minne nyuma aligundua kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na jamaa mmoja. Akaendelea kuchunguza akagundua ni kweli akamuonya mkewe. Siku moja akiwa safarini kwenye basi, akampigia mkewe na kisha akampigia jamaa akagundua kuwa wako pamoja. Akamuonya mkewe na badaye akamtumia jamaa message kali. Aliporudi safari ugomvi ukawa mkali kati yake na mkewe huku mkewe akiwa anakataa kuwa na mahusiano na huyo bwana. Lakini alipochukua simu ya mkewe na kuichunguza, akagundua ile message aliyomtumia jamaa iko kwenye simu ya mkewe, yaani alimforwadia.Alipomwuliza mkewe hiyo msg ya jamaa imefikaje kweye simu yake akabaki kujikanyanga.

Juzi hapa, jamaa yangu amegundua mahusiano ya wawili hao yanaendelea kama kawaida. Ameamua kumfuatilia mwizi wake kimya kimya na kugundua anakoishi, kazi zake, nyendo zake zote na vijiwe vyake. Tayari ameshafanya utaratibu wa kumdelete na anasubiri utekelezaji tu. Mimi kanishirikisha kama taarifa tu kwa sababu maamuzi anayotaka kuchukua ni magumu. Namnukuu:
"Kiukweli huyu bwana nilimtumia message ya kumuonya, kwa dharau akaiforward kwa mke wangu, Nimeshamfuatilia, anaitwa Deodatus----, picha yake hii hapa (akanionyesha picha), na namba yake ya simu ni 0754 275170 na anaishi.....(akataja mtaa na nyumba)"

Ndugu wana JF Jamaa yangu yuko serious nimeona nililete hapa kwa maoni zaidi!!! Nawasilisha!

ok kaka, ni wazi kabisa wewe ndo mwenye mke.

nina maswali yafuatayo

1. je wewe hujawahi chapa muke ya mutu pia?
2. huyo mkeo ndo mungu wako?
3.kwani wewe ndo wa kwanza kuibiwa mke hadi eti unataka kuuwa?
4. ukishauwa then what?

tatizo lililopo hapa si mke kuliwa bali ni mke na huyo jamaa kukuonyesha live na kukuchezea kichwa na moyo wako kana kwamba wewe si binadamu(its not fair, naelewa situation yako yalinikuta haya pia).

sasa, cha kufanya ni kumchukulia tu huyo mke kama mwanamke unayeishi nae nyumba moja na kama mama wa watoto wako, try to open ur heart to other opportunities, kuna wanawake wengi wazuri tu(not neccessary hawapigwi nje, ila wanapigwa kwa akiri).Ukishapata unayeendana nae, try to build a relationship kama itawork unaweza amua kufanya maamuzi magumu ya divorce au separation ya muda utulize kichwa.

kwakweli kwa kesi yako, ndoa yako is not working but divorce ni solution sometimes but be very careful na acha hasira.

maisha haya tunapita tu, sasa why uchume dhambi kisa eti mke, lo jidhamini na jipende mwenyewe kaka yangu. tafuta mwanamke mwingine tu.
 
Mwenye tatizo hapa si mwanaume anayetaka kumuua mwenye tatizo na mabaye anatakiwa kumuua bila upendeleo ni yule mke wake kwa sababu ndo aliyemsaliti ikiwa anajua kaolewa na yeye. Unaacha tatizo kulishughulikia ambaye ni mke wako, hakuna tatizo lingine zaidi ya mkeo, kwani ukimuua anayetemebea naye sasa hivi atatembea tena na mwingine, je utaua wangapi? Kulikomesha tatizo ambaye ni mke wako ndo uchukue hatua kwake la sivyo unapoteza muda tu.

Back
Top Bottom