Ukitaka Ubaya...
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 498
- 140
Mkuu km amethibitisha anayoyasema hakuna haja ya kuua, aachane na huyo mwanamke kwani inavyoonekana huyo m/ke ni tabia yake na hawezi kuacha ataaendelea tu! ataua wangapi? inauma lkn!
mi naona kaamua kumtishia kwa design hii. atawaua wangapi?upande wangu itakuwa ngumu
as simfahamu ataona kama namtilia kitu mbaya
lakini naona kama kuna aina fulani pia ya vitisho,
jamaa mwenye mke anajaribu kumtisha mwenzie,
kwani alimbaka si walikubaliana tu.
mi naona kaamua kumtishia kwa design hii. atawaua wangapi?
solution mi naona ni kumuua mkewe, lol!
mimi mwenyewe nipo ndani ya ndoa ila kuna kaka nampenda saaaaana, na tumekuta toka niko na mume wangu kama wachumba, na kweli tunapendana... kwa hiyo katika maisha mambo hayo yapo, sema unakula kwa step usijiachie, na kila siku nikujikumbusha kwamba upo ndani ya ndoo, so mipaka muhimu, kwa mfano muwe na mida ya kuwasiliana na msg katika simu hazikubaliki.... ukienda ivyo utadumu sana na wapembeni...Ni jamaa yangu, kanipigia simu kaniita bar. Nilipofika kanieleza yaliyoko moyoni.
Miaka kama minne nyuma aligundua kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na jamaa mmoja. Akaendelea kuchunguza akagundua ni kweli akamuonya mkewe. Siku moja akiwa safarini kwenye basi, akampigia mkewe na kisha akampigia jamaa akagundua kuwa wako pamoja. Akamuonya mkewe na badaye akamtumia jamaa message kali. Aliporudi safari ugomvi ukawa mkali kati yake na mkewe huku mkewe akiwa anakataa kuwa na mahusiano na huyo bwana. Lakini alipochukua simu ya mkewe na kuichunguza, akagundua ile message aliyomtumia jamaa iko kwenye simu ya mkewe, yaani alimforwadia.Alipomwuliza mkewe hiyo msg ya jamaa imefikaje kweye simu yake akabaki kujikanyanga.
Juzi hapa, jamaa yangu amegundua mahusiano ya wawili hao yanaendelea kama kawaida. Ameamua kumfuatilia mwizi wake kimya kimya na kugundua anakoishi, kazi zake, nyendo zake zote na vijiwe vyake. Tayari ameshafanya utaratibu wa kumdelete na anasubiri utekelezaji tu. Mimi kanishirikisha kama taarifa tu kwa sababu maamuzi anayotaka kuchukua ni magumu. Namnukuu:
"Kiukweli huyu bwana nilimtumia message ya kumuonya, kwa dharau akaiforward kwa mke wangu, Nimeshamfuatilia, anaitwa Deodatus----, picha yake hii hapa (akanionyesha picha), na namba yake ya simu ni 0754 275170 na anaishi.....(akataja mtaa na nyumba)"
Ndugu wana JF Jamaa yangu yuko serious nimeona nililete hapa kwa maoni zaidi!!! Nawasilisha!
eeehhhhumeona eeh.
eeehhhh
maana naona sasa atajiingiza kwenye chain ya kuua.....
bora aue mkewe basi amemaliza kazi
Mshauri adeal zaidi na mke wake kujua sababu hasa zinazomfanya atoke nje ya ndoa,kuua si sawa na itamgharimu sana tu kwa vile damu ya mtu huwa haiendi bure.
mi naona dhambi tunayoishangaa hapa ni ya kuua anayetembea na mkeo......huo ndo uamuzi mzuri,
kwani huku vijiweni kwetu mbona tunaona wake zao waki-date na watu kama kawaida
mwanamke amenunuliwa gari nzuri ya kutembelea lakini bado ana-date
hii siyo dhambi ya mtu mmoja wengi wametumbukia humo, na yule ambaye hafanyi awe wa kwanza kumtupia mawe huyo mwanaume hapo juu.
mimi mwenyewe nipo ndani ya ndoa ila kuna kaka nampenda saaaaana, na tumekuta toka niko na mume wangu kama wachumba, na kweli tunapendana... kwa hiyo katika maisha mambo hayo yapo, sema unakula kwa step usijiachie, na kila siku nikujikumbusha kwamba upo ndani ya ndoo, so mipaka muhimu, kwa mfano muwe na mida ya kuwasiliana na msg katika simu hazikubaliki.... ukienda ivyo utadumu sana na wapembeni...
Hujui uchungu aupatao mwenye mke! Dawa ya moto ni motoUtakuwa unaenda kumsalimia segerea?
Hapa inahitajika hekima hakuna siri ya watu wawili ...wewe kama rafiki yake msaidie kwa ushauri..
Kutoa roho ya mtu ni kazi jamani ..
Pole kwa kuibiwa na tafuta namna nyingine ya kusolve matatizo yako
Ha ha ha!watu kwa biti!!hapa aliyeweka hii thread ni mwenye mke afu kaweka na jina na namba ya simu ili kumpiga biti mume mwenzie!!ha ha ha ha ha!
mimi mwenyewe nipo ndani ya ndoa ila kuna kaka nampenda saaaaana, na tumekuta toka niko na mume wangu kama wachumba, na kweli tunapendana... kwa hiyo katika maisha mambo hayo yapo, sema unakula kwa step usijiachie, na kila siku nikujikumbusha kwamba upo ndani ya ndoo, so mipaka muhimu, kwa mfano muwe na mida ya kuwasiliana na msg katika simu hazikubaliki.... ukienda ivyo utadumu sana na wapembeni...
Kama amafanya utafiti na kugundua hilo hakika ni kumuua tu hakuna haja ya kuishi na adui yako.....Asante
samahan dagaa, kwa komment imenibidi nikuulize swali kidogo, inakuwaje kuwa hakuridhishi au humpendi maana mimi bado naomba nijue