Anataka kumuacha kisa ufupi

Anataka kumuacha kisa ufupi

Licha ya upendo wa dhati wamejaliwa kimaumbile kunakoo kulee... Mtu uchague kipi important kwako,kufurahishwa ndani ama kuonekana couple nzuri nje...hupati complete package
Ni kweli, kutaka the complete package basi umba wako. Angalie kile cha msingi tu hayo ya urefu na ufupi ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu, ni kitu kiko nje ya uwezo wake na hakupanga kuwa hivyo.
 
the guy alikua mkoa na alivokuja dzm wamemeet mara mbili tu ya pili ndo kagundua ufupi,mara ya kwanza haku notice mana hatukukaa nae sana
Kwahiyo walifahamiana kwenye mitandao sio,so alipokuja dar ndio wakaonana for the first time
 
Kwani wewe huna kigezo chako ?acheni habari zenu mkichagua nyie ni sawa ila tukichagua sie inakuwa tatizo. Huwezi kuwa na mtu mmesimama anakufikia kiunoni.

Men are very selfish at times, mwanamke hautakiwi kuchagua bwana wao wakichagua inatosha.
 
Sasa "msichana" unaandika kiujana mnoo. Hebu wasilisha uzi kwa kiswahili nyoofu ili tutiririke kukushauri. Hata hivyo haidhuru sana muda unao mkuu.
 
Yaani ni shida, gubu mtindo mmoja.
Yani kuna siku nilicheka hadi aunt akanimind. Unatujua wanyaki vizuri, my aunt ni tallll ana mwili, afu mumewe ni mfupi kibonge (gubu lake sio la nchi hii). Sasa kuna mtu alienda kumuulizia aunt home hakumkuta, akamkuta uncle tu. Sasa ile mgeni anaondoka, akakutana na aunt njiani, ndo kumwambia nimetoka kwako nimemkuta mtoto wako wa kiume (uncle), aunt akapiga "wee vipi, me naweza kumzaa mtu mzima kama yule". Aunt ananisimulia amenunaa, me nilicheka hadi akanimind
 
eti mwanao wa kiume!!
Alafu sijui kwanini wanaume wafupi wanapendaga wanawake warefu.
 
Nina huyu cuzo wangu ana bwanake,the guy ana kazi nzuri tu,kapole,he is a gentleman,anampenda sana my cuzo like sana yani and all that(kwa mimi navomuona).

The problem ni kwamba cuzo angu anataka kuachana nae kisa the guy ni mfupi kuliko yeye.

Back then walikua wanapenda sana tu,my cuzo alikua haishi kumuongelea huyo bwana. Hapo the guy alkua mkoa mwingine kikazi.

I started noticing changes the guy alipokuja dzm,first time cuzo akaomba twende ote,basi tukameet...tuka have fun hivo...

Second time tena tumeenda kwa the guy anapoishi kumuona alikua anaumwa...

Sasa tumerud home my cuzo ananiambia eti anataka abreak up nae....kumuuliza why,anasema amejipimisha nae the guy ni mfupi kuliko yeye na familia yao nzima ndo wako hivo so hajisikii poa kumpita mwanaume urefu.

Me nikamwambia kama u love the guy kimo si chochote unless otherwise una mengine,akasema hana kingine zaid ya ufupi and she feels uncomfortable kua nae kwasaabu hiyo.

I pity the guy coz yani ni kapole,kahandsome tu sema ndo hivo kafupi kidogo plus tumeshakula hela zake kibao mpaka i feel guilty.

Basi the guy hua ananiuliza kama my cuzo truly loves him,kama pia humuongelea nikiwa nae...basi me naishia kumpa moyo tu.

nauliza jamani is this right???

wasichana mliowapita wanaume zenu urefu kwani mnapata shida yoyote?

wanaume mliopitwa urefu na wachumba zenu imekaaje hii???
Mwambie aendelee kuchagua,ila atakapofikisha 28 hakijaeleweka asimlaumu Mungu hajampa mume.wkt nafasi alishaichezea
 
Ni kweli, kutaka the complete package basi umba wako. Angalie kile cha msingi tu hayo ya urefu na ufupi ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu, ni kitu kiko nje ya uwezo wake na hakupanga kuwa hivyo.
Ma', kuna vitu kweli mtu hawezi kucontrol, but kama mtu huwezi kuhandle (kuishi nacho) hicho kitu/udhaifu, it's better mtu akaquit. Usikubali kuwa na mtu kwa sababu unamuonea huruma maybe. Hajachagua kuwa hivyo, but hamnaga ndoa ya kuoneana huruma na huwezi kubeba dhaifu la kitu mtu. Kama upo comfortable then mchukue tu
 
Ma', kuna vitu kweli mtu hawezi kucontrol, but kama mtu huwezi kuhandle (kuishi nacho) hicho kitu/udjaifu, it's better mtu akaquit. Usikubali kuwa na mtu kwa sababu unamuonea huruma maybe. Hajachagua kuwa hivyo, but hamnaga ndoa ya kuoneana huruma na huwezi kubeba dhaifu la kitu mtu. Kama upo comfortable then mchukue tu
Suala sio kumuonea huruma, bali kuangalia cha msingi ni nini!!
Kweli mtu ana qualities zote uzitakazo kisa ufupi tu umuache!! How if utampata mrefu bt hana zile qualities zingine ambazo zinamata zaidi!!

Ye aamue tu kwa kujiridhisha, hopefully hatokuwa na majuto baadae.
 
Nakuelewa vizuri, me nikiwa na mtu mfupi, aisee itabidi tu ubaki na "I tap into this" lol. But mtu mwingine ni hayupo comfortable kabisa na mwanaume mfupi, kiasi kwamba inaaffect mahusiano yao. Hajisikii comfortable kuonekana naye, and sijui kama kuna kitu kinaumiza kama kuwa na partner who isn't proud of having you. Anakuwa sawa na mwanaume ambaye ana mwanamke mnene/ hana chura na hayupo comfortable naye, au ku-date na mwanaume asiye na hela teh.

But again as you said, mtu aangalie mwenyewe what's worth the compromise, kama anaweza chagua ufupi over other qualities he possess, basi ni sawa and usishangae pia height ikawa ni deal breaker
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom