Thank you sirDont give a shit on minor issues.....mi mtu hawez kuniharass kwa maumbile yangu nikajisikia vibaya, never?
Nilichogundua kwako ni mindset tu.....change it yourself.
Nimechekaa eti "ukitembea na baba ako mzazi mfupi haufeel protected"Labda kipato na elimu
Kwa case ya kimo mnadanganywa huko kwenye mitandao mnasoma eti ooh unafell protected na blah blah....mnapenda kuigiza maisha ya tamthilia wakat in real life things are different.
We ukitembea mmeongozana na baba yako mzazi na ni mfupi, dont u feel protected? It's all about mindset
Achana nae afanye anavyotakayani...nshamshawishi hadi basi
Kwani wewe huna kigezo chako ?acheni habari zenu mkichagua nyie ni sawa ila tukichagua sie inakuwa tatizo. Huwezi kuwa na mtu mmesimama anakufikia kiunoni.Labda kipato na elimu
Kwa case ya kimo mnadanganywa huko kwenye mitandao mnasoma eti ooh unafell protected na blah blah....mnapenda kuigiza maisha ya tamthilia wakat in real life things are different.
We ukitembea mmeongozana na baba yako mzazi na ni mfupi, dont u feel protected? It's all about mindset
PoleYaan ufupi ni janga jamani unajua hata mi huwa najishtukia sana yaan hata demu anionyeshe dalili kama amenizid urefu nakazaga koo naenda mbele
Licha ya upendo wa dhati wamejaliwa kimaumbile kunakoo kulee... Mtu uchague kipi important kwako,kufurahishwa ndani ama kuonekana couple nzuri nje...hupati complete packageWanaume wafupi mara nyingi huwa wana mapenzi ya dhati, bi dada aangalie moyo wake na vipaumbele vyake tu ila baadae asijesema "ningejua".
Hahahhahaha,ss km miaka yote baba ni mrefu unafeel protected kivipi ukipata hubby mfupi.,mtihaniiiiNimechekaa eti "ukitembea na baba ako mzazi mfupi haufeel protected"
Hahahahahahahah sijui kwanini kila nkikikuta comment yako inanichekesha snNi wakati wake huu kuchagua. Kuna muda utafika atatamani yeyote akiwemo huyo mfupi.
Usiombe upate mwanaume mfupi mwenye tabia za "kifupi"Licha ya upendo wa dhati wamejaliwa kimaumbile kunakoo kulee... Mtu uchague kipi important kwako,kufurahishwa ndani ama kuonekana couple nzuri nje...hupati complete package
Hahahhahahahahahaha gubuu lol..Usiombe upate mwanaume mfupi mwenye tabia za "kifupi"