Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.

Mkuu achana na hiyo kitu huruma, mitaa hii hakifanyi kazi kabisa! Ushawahi kumkamua mtu jipu?
 
wewe kamua tu,zaa kama una uwezo wa kulea na kuwapa mahitaji yao
 
vyote hivyo ni usaliti
azae asimletee au amletee mkewe
ishu ni kwamba akae ajenge ndoa yake
amfanye mke wake amvutie kama huyo hawara ake!!thats all!!

Eh! we dada; mke wangu namjali sana na anavutia kinomi; nikitaka kwenda kwenye mitoko rasmi kama vile harusi ndo naenda na wife; nikitaka kwenda club kama vile villa ndo naenda na huyo toto.
 
wewe kamua tu,zaa kama una uwezo wa kulea na kuwapa mahitaji yao

uwezo upo japo sio sana; familia yangu sio kubwa na sina extended family. mimi najishughuliza na riziki napata, yeye naye ni mtumishi wa serikali; tutashindwa vipi kumlea huyo mtoto.
 
Eh! we dada; mke wangu namjali sana na anavutia kinomi; nikitaka kwenda kwenye mitoko rasmi kama vile harusi ndo naenda na wife; nikitaka kwenda club kama vile villa ndo naenda na huyo toto.

sasa kama mkeo ni beatifull onyinye
si utulie kaka,siku akigundua si ndio ndoa
itaanza kuyumba?hiyo ni starehe ya muda
lakini madhara yake ni makubwa!!nyumba ndogo sio sifa
ni ujinga wa kujiendekeza tuuu!!!9c day!!!!!!
 
no more qn!
muheshimu mkeo kama
kweli unampenda!!
nampenda, namuheshimu ndo maana mambo mengine nafanya tena kwa siri kubwa. ikitokea niko kwa bi-mdogo; wife akapiga sm kwamba ananihitaji - naondoka haraka sana nisijemkwaza mama watoto wangu.
 
Unaweza kuta huyo mume yumo hapa anatoa ushauri lol....
 
Wala hanipi pesa; napenda kampani yake tu na mambo mengine ya 6 x 6. Nimeishafanya ufuatiliaji na kugundua kuwa aliachika kwa mume wake kweli, hivyo kesi ya kwamba natembea na mke wa m2 haipo kabisa ndo maana hata kwake naenda bila wasi.

si kahama mji ndio maana yeye yupo free, angekuwa mji alioishi na mumewe ungejua ukweli mara moja, ila weye unaonekana bado upo cloud 9 nae, haya endelea machozi, kichwa kuuma kwa mawazo utakuwa wewe apo baadae. na jua mkeo atajua, maana ukishatambulishwa ndio utaona yeye nani I mean kimad chako.

ukimfundisha mkeo mambo unayopenda katika mapenzi unadhani atakataa, ndoa ni kuzidi kufundishana mengi tu kuiimarisha.
Reply With Quote
 
sasa kama mkeo ni beatifull onyinye
si utulie kaka,siku akigundua si ndio ndoa
itaanza kuyumba?hiyo ni starehe ya muda
lakini madhara yake ni makubwa!!nyumba ndogo sio sifa
ni ujinga wa kujiendekeza tuuu!!!9c day!!!!!!

Nimekupata; ila naamini huyo dem nikimuacha sio kwamba atakaa hivi hivi; atachukuliwa na mwanaume mwingine kama mimi; hivyo ili mtoto wa watu asiwe wa kubadilisha wanaume inabidi mimi niendelee naye japo kwa siri kubwa. Hapa nimeyaweka wazi kwa kuwa hatufahamiani phisically.
 
Unaweza kuta huyo mume yumo hapa anatoa ushauri lol....

Kama yupo kivyake; si alikichezea akakiona cha nini.... kilipokutana na wanaojua kutunza kimetulia hadi nashindwa kuelewa ni kwa nini alikuwa akimnyanyasa.
 
si kahama mji ndio maana yeye yupo free, angekuwa mji alioishi na mumewe ungejua ukweli mara moja, ila weye unaonekana bado upo cloud 9 nae, haya endelea machozi, kichwa kuuma kwa mawazo utakuwa wewe apo baadae. na jua mkeo atajua, maana ukishatambulishwa ndio utaona yeye nani I mean kimad chako.

ukimfundisha mkeo mambo unayopenda katika mapenzi unadhani atakataa, ndoa ni kuzidi kufundishana mengi tu kuiimarisha.
Reply With Quote

Haya Mzurimie nimekupata ila kuna mambo mengine hayafundishiki.
 
nampenda, namuheshimu ndo maana mambo mengine nafanya tena kwa siri kubwa. ikitokea niko kwa bi-mdogo; wife akapiga sm kwamba ananihitaji - naondoka haraka sana nisijemkwaza mama watoto wangu.
mmmmh!sidhani kama
kuna respect yoyote ilhali unamsaliti!!
all n' all uamuzi unao wewe,mimi nimeshauri
tu coz madhara yake ni makubwa siku mkeo akijua!!
gud luck!!
 
Kuna post humu inaitwa "Ukitaka kuwa na nyumba ndogo- the guide " nadhani itakusaidia . Ila moja ya ushauri ulikuwa kuwa ,nyumba ndogo ikipata mtoto haiwi ndogo tena ,kwa hiyo utakuwa na nyumba kubwa mbili ,na usipokuwa makini unaweza jikuta ukitafuta nyumba ndogo tena.
 
Inaonekana kwamba umeleta suala lako hapa ili wanajamii wakupe go ahead kwamba uzae nae!!

As naona unakazana sana kusisitiza kuwa anakupenda, oo hataki kurudiana na tena na mkewe n.k.

We fanya vile unavyotaka bana.. Hayo ni maisha yako, ukiharibu familia yako kwa sababu ya tamaa zako sie wala hayatuhusu. Kila la kheri..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.

kwa hiyo unatushirikisha tuzini pamoja au!
 
Akiri kumkichwa..............! Acha ushamba
wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.
 
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.
Anza ukorofi, na kumdunda ili akukimbie au kubali kuzaa naye ili awe nyumba ndogo au msihi arudi kwa mumewe.
 
Back
Top Bottom