Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

Nianze tu kuchuma dhambi na wewe kwa kukushauri janga kama hili,we endelelea kumfurahisha shetani ndugu soon ataku award
 
Aaah father huruma naona unatafuta ushauri ili uliendeleze libeneke
 
Yaan Mzee A.Nyerere hizo ndo busara zako,yaan kwa sabab Kawawa aliwah fanya hivyo nae afanye? Watu weng sana hivo vit tunapenda lkn tunaogopa kuangamiza na kuharib mustakbari wa watoto na familia zetu. Yeye kama din yake inaruhusu amwambie mke wake akimkubalia amuoe kabisa awe na familia mbili.

Hizo ni busara za Kawawa. Niambie watoto wa Kawawa wana matatizo gani,au wana shiki gani.
The bottom line ni kwamba ndoa siyo important,what is important ni kwamba mtoto akizaliwa wazazi wa-take responsibility,wamtunze. Lakini wazazi wakianza kurushiana mpiara kuhusu nani amtunze mtoto;hivyo ndivyo tulivyifika hapa tulipo,na hao watu wa New World Order ndio wanapanga mipango ya depopulation ya Dunia.[Naju sasa watu watauliza,we Andrew,do you ever think of anything other than The New World Order?]
 
Kama wote walonishauri nisiendelee na huyo mrembo wanatenda sawa na walivyonishauri; bas ulimwengu unaelekea kubadilika. Lakini wasiwasi wangu ni kwamba theory ni raisi kuliko practical; siamini hata wewe Mndengereko kama ni mkamilifu kiasi hicho - na ndo maana umefika hatua ukasema SISI WANAUME TUNAJIJUA WENYEWE.
Hata wanawake wanajijua wenyewe na mambo yao ya kubeba waume za watu na vijana wadogowadogo.
Hakika kila m2 atateba mzigo wake mwenyewe.
Ila nikwambie kitu rafiki yangu ......
Binafsi nikitenda jambo ambalo nafsi yangu inanisuta, nikilitoa kwa rafiki yangu wa karibu na kulijadidi; kuna namna fulani ya kujisikia kama mzigo wa wazo hilo umepungua. Na hapa JF nawadhamini sana kama marafiki zangu wa karibu sana - ndo maana zigo hili nimelitua kwenu ili mlijadili na kunishauri.
NAWASHUKURUNI SANA WOTE MLOCHANGIA KATIKA MADA HII NA NINAAMINI MAWAZO YENU NITAYAFANYIA KAZI.
sawa mkuu nimekusoma
 
Hizo ni busara za Kawawa. Niambie watoto wa Kawawa wana matatizo gani,au wana shiki gani.
The bottom line ni kwamba ndoa siyo important,what is important ni kwamba mtoto akizaliwa wazazi wa-take responsibility,wamtunze. Lakini wazazi wakianza kurushiana mpiara kuhusu nani amtunze mtoto;hivyo ndivyo tulivyifika hapa tulipo,na hao watu wa New World Order ndio wanapanga mipango ya depopulation ya Dunia.[Naju sasa watu watauliza,we Andrew,do you ever think of anything other than The New World Order?]

Nimekusoma A. Nyerere; thankx
 
Nianze tu kuchuma dhambi na wewe kwa kukushauri janga kama hili,we endelelea kumfurahisha shetani ndugu soon ataku award

Unamjua shetani wewe au umekaririshwa na viongozi wako wa dini wasiojua theolojia? Wacha tuendelee kushauliana wenye kujua kweli ili kweli ituweke huru.
 
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.

zaa nae huwezi kujua mtoto utakae zaa nae atakuwa na msaada gani kwa hii nchi na dunia, kama kaomba akuzalie mtoto dont think twice mpe mimba
 
Kwa hiyo nichomoe kiaina eh! Huyo mdada anaonesha kunipenda sana; nikimuacha naona kama nitakuwa sijamtendea haki. Ameishanitambulisha kwa marafiki zake wengi kwamba mi ni mtarajiwa wake.

hujawajua wanawake vzur.,.kinachofuata ni kumfukuza mkeo ulete kimada
 
Nimekusoma kiongozi; ahsante! tatizo wengi wana-let negatively.
 
hujawajua wanawake vzur.,.kinachofuata ni kumfukuza mkeo ulete kimada

Naheshimu familia yangu; naheshimu sheria za nchi hii, najiheshimu mwenyewe! Sitoweza kumtosa mama watoto wangu; ikitokea tukapata mtoto nitafanya chini juu naye awe na mji wake akalee mtoto wake vizuri pasipo kubugudhiwa na m2 yeyote.
 
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.

Sasa unahitaji ushauri gani hapa,achana naye,we una mke,na watoto,hebu ijali familia yako,acha mambo ya ajabu!
 
Kwa hiyo nichomoe kiaina eh! Huyo mdada anaonesha kunipenda sana; nikimuacha naona kama nitakuwa sijamtendea haki. Ameishanitambulisha kwa marafiki zake wengi kwamba mi ni mtarajiwa wake.

we ni mwanaume mpumbavu kama mume wangu, au ni wewe
 
Ndo mimi Mama watoto wangu; nisamehe - sitorudia tena; ila ameishakula pesa zangu nyingi, nitazirudishaje pasipo kumzalisha mtoto?
 
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.

Nadhani kwa uelewa wangu mtu wa kwanza kumwomba ushauri ni mke wako,kama ukituambia kuwa mke ameridhia basi sisi tutatoa maoni yetu maana sisi wachangiaji ni watu wa mwisho kabisa
 
Idadi ya wanaume wanaotoka nje ya ndoa = idadi ya wanawake wanaotoka nje ya ndoa. Hivyo ukiiba nje, lazima na wewe unaibiwa nje. Action and reaction are equal and opposite.
 
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.

Ulikumbuka dawa ya penzi?, Angalia sana unaweza kuuza ndoa yako hivi hivi na maisha yakaharibika kuazia hapa, Nadhani si busara kumsaliti mke wako kwa kias hicho, tujifunze kuridhika na weza wetu, mkuu ebu chukua picha uigeuzie kwako, kama na wewe mke wako anatumia udhaif wako flan kuchepuka kidogo, imekaaje hiyo? Nadhan mkeo ni mzuri sana mkuu, usimvunjie heshima mkuu, tafadhali achan na huyo dada, utajuta baadae, mtafute Bujibuji.
 
Back
Top Bottom