Mwamajinja
Member
- Mar 1, 2013
- 7
- 1
Ama kweli dunia hiii mh!!!!!!
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.
Mkuu umejuaje kwamba huyo dada ni wa Bukoba? Au unanifahamu nini?
Yaani nyie waume wa ndoa???? Nachotaka kusema kimeshaandikwa sana huku jf itakuwa marudio ila kwa kukusaidia nakukumbusha tuu. Mke wa mtu sumu kaachinjo. Kama umefanikiwa kumgegeda hiyo siku tena kwake bila kubambwa iko siku mtakamatwa na kabla hujatolewa uhai itakuwa aibu kwako, kwa mkeo na watoto na ndugu zako. Acha kulewa na mahaba ya masaa kadhaa hayana tofauti na anayokupa mkeo, pia usikubali kuwa baba huruma, unamhurumia huyo kwa kupigwa na mumewe mkorofi kwani hakumjua kabla hawajaoana? Tosheka na mkeo anaweza kuwa anao wengine kibao kama wewe anawapanga siku ukijastuka ushaukwaa na mkeo ushamuambukiza, shaurilo.
Umewahi kuwaza kuwa unapokuwa katikati ya kumdinya mwanamke mwingine mkeo nae huko aliko anamkatia mtu kiuno??? Fikiri unachomfanyia mtu ukifanyiwa utatabasamu, utacheka , utalia, utapigana au utaua mtu kabisa.
Mwambie huyo mwanamke atafute mtu mwingine ambae si mume wa mtu an aachane na wewe, mgegede mkeo tuu!!!
Imeniuma sana hii. Mimi na huyo anayeomba ushauri ni walewale!
bora umejigundua, hujachelewa, chukua hatua sasa na kata kamba huko nyumba ndogo na rudisha heshima yako nyumba kubwa a.k.a. Mkeo wa ndoa.
Ukifuata moyo wako ndo utakuwa sahihi. Ila ukikubali kuzaa naye na wewe mkeo atazaa na jamaa mwingine ili muwe sawa. Kwa kwa sasa mkeo naye anagawa nje bado tu kuomba kuzaa nje. Lazima muwe ngoma droo na mkeo.
upoo?..................
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.
Haya Mzurimie nimekupata ila kuna mambo mengine hayafundishiki.
Upo sawa kwa asilimia 10000..... What goes around comes around. Huyu jamaa ndio shetani anayezui huyo mke kurudiana na mumewe. Hv karibun ndoa yako pia itaingia matatizoni