nilitaka kukupuuzia nikijua umepitiwa tu kuleta upuuzi huu hapa lakini kwa hii comment acha nikuchane.we unaonekana ni changudoa mzoefu wa kiume so umekuja kutafuta sifa kwa machangudoa wenzio wa kike watakaokusifia na kukupm muendeleze uchangudoa wenu!mwanamke aliyethubutu kumvulia chupi mwanaume mwingine asiye mumewe ni kahaba huo ndio ukweli mchungu ukipenda meza ukibisha ondoka kimya kimya.we kukudanganya anataka kuzaa na wewe ukajiona umepata malaika?huwajui wanawake wewe.kanye ukalale na kahaba mwenzio.
Unaweza kumshauri m2 mambo mema lakini wewe ukashindwa kutenda mema, inategemeana umeingia kwenye jaribu kwa mtindo upi?
Ingetokea ukabahatika kukutana na huyo mdada naamini ungesema sijakosea kuwa na mahusiano naye. MZURI HUYO!!!! dUH
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mum
e wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.
wakati nasoma ushauri wako ghafla natumiwa sms na huyo dem anasema hivi "LEO UTAKUJA SAA NGAPI? NIMEIVISHA NAOMBA UWAHI TULE PAMOJA DEAR"
SIJAMJIBU NIMEBAKI KUCHEKA TU PEKE YANGU.
Yaani nyie waume wa ndoa???? Nachotaka kusema kimeshaandikwa sana huku jf itakuwa marudio ila kwa kukusaidia nakukumbusha tuu. Mke wa mtu sumu kaachinjo. Kama umefanikiwa kumgegeda hiyo siku tena kwake bila kubambwa iko siku mtakamatwa na kabla hujatolewa uhai itakuwa aibu kwako, kwa mkeo na watoto na ndugu zako. Acha kulewa na mahaba ya masaa kadhaa hayana tofauti na anayokupa mkeo, pia usikubali kuwa baba huruma, unamhurumia huyo kwa kupigwa na mumewe mkorofi kwani hakumjua kabla hawajaoana? Tosheka na mkeo anaweza kuwa anao wengine kibao kama wewe anawapanga siku ukijastuka ushaukwaa na mkeo ushamuambukiza, shaurilo.
Umewahi kuwaza kuwa unapokuwa katikati ya kumdinya mwanamke mwingine mkeo nae huko aliko anamkatia mtu kiuno??? Fikiri unachomfanyia mtu ukifanyiwa utatabasamu, utacheka , utalia, utapigana au utaua mtu kabisa.
Mwambie huyo mwanamke atafute mtu mwingine ambae si mume wa mtu an aachane na wewe, mgegede mkeo tuu!!!
Hahahaha..haya bana naona na signature inajielezakIONGOZI .... DEM YUKO BOMBA KISHENZI; KANONAJE? KUMUACHA NAONA NOMA, KUENDELEA NAYE PIA JAMII HAITANIELEWA ...
yaani kweli kaka mkubwa umenishangaza lol...nilitegemea wewe na mimi ndio tungekuwa watu wa mwisho kuleta habari kama hizi hapa.
Tunza ndoa yako kaka, achana na mvua za vuli (mpango wa kando), ni ya kupita tu hayo.
Hakuna namna nyingine ya kuikimbia zinaa zaidi ya kuipuka, na ndio maana biblia yatuasa ya kwamba, "ikimbieni zinaa..."
Kuna wakati huwa nashindwa kuelewa hapa MMU huwa tunajadili visa vya ukweli au vya kubuni!!!
Mathalani mtu ambaye wiki mbili au hata wakati uliopita alikua anatoa ushauri kwa watu wengine kuachana na zinaa, leo hii naye anakuja jamvini na hadithi za kushiriki zinaa.
Kwa hiyo nichomoe kiaina eh! Huyo mdada anaonesha kunipenda sana; nikimuacha naona kama nitakuwa sijamtendea haki. Ameishanitambulisha kwa marafiki zake wengi kwamba mi ni mtarajiwa wake.
Eh! umekuwaje na wewe? Maneno gani sasa unaniambia? yaani nishauliane na mama watoto wangu kuhusu hili kweli?
kIONGOZI .... DEM YUKO BOMBA KISHENZI; KANONAJE? KUMUACHA NAONA NOMA, KUENDELEA NAYE PIA JAMII HAITANIELEWA ...