Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

We rafiki yangu unadhalilisha ndoa unataka kuacha mkeo kwa utamu wa bao la siku mmoja?kuwa mwangalifu familia yako kwanza hao makahaba wapo tu..pia yule mke wa mtu angalia usije liwa tigo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sahihisha hiyo kauli yako; dem wangu usimuite kahaba. Pia sio mke wa m2 mbona hujanielewa rafiki yangu? Alishaachana na mume wake.
 
Kuna wakati huwa nashindwa kuelewa hapa MMU huwa tunajadili visa vya ukweli au vya kubuni!!!
Mathalani mtu ambaye wiki mbili au hata wakati uliopita alikua anatoa ushauri kwa watu wengine kuachana na zinaa, leo hii naye anakuja jamvini na hadithi za kushiriki zinaa.

Unaweza kumshauri m2 mambo mema lakini wewe ukashindwa kutenda mema, inategemeana umeingia kwenye jaribu kwa mtindo upi?
Ingetokea ukabahatika kukutana na huyo mdada naamini ungesema sijakosea kuwa na mahusiano naye. MZURI HUYO!!!! dUH
 
wewe umeamua kuwa mkware.Mbona hukutuomba ushauri kabla hujaanza kulala naye?.Nakuomba usiendelee kutusanifu ila nami najishangaa kukuta naoteza mb zangu kwa post yako.endelea kadri kichwa chako kinavyokuongoza.

hAYA KIONGOZI ....
 
Sahihisha hiyo kauli yako; dem wangu usimuite kahaba. Pia sio mke wa m2 mbona hujanielewa rafiki yangu? Alishaachana na mume wake.

Ye wiiii nimechekaje unataka jibu watu vibaya sababu ya kuita hivyo, kwani sio? Yeye anataka nini kuingilia ndoa ya mwanamke mwingine?
Wameachana wapi umesema mwenyewe alihama kikazi, mbona naona wewe ndio unakanma lishwa limbwata?

Mumewe atakuja kukufanyizia, mke wa mtu sumu. Shauri zako utakiona nenda tulia na mkeo. Tamaa ya mapenzi sijui anakupa pesa itakutokea puani.
 
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa;
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.
Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.
haya beba fupa lililomshinda fisi,aisee wanaume kweli huwa sijui mwafikiri nini kwa kweli jamani??????
 
Hivi unaomba ushauri wa nini?

Kwanza umepima ukimwi? Huyu limama hujui ni mke wa mtu au umekuwa wale mabwege wa kwenye kuenjoy nje na kudhani umepata?

Na mke wako? Omba Mungu mumewe asaikudhuru, watu wengine bwana amekuambia bado kaolewa wewe unataka nini?

Mimi nahisi yeye ndie anakudanganya, labda ndio alifukuzwa na mumewe kwa umalaya.

Amepigwa sana anakupa na stori za matibabu? Maana mpaka aahame mji badi labda na kulazwa alishalazwa. Haya kakitulize na mkeo. Au nae akijua ataenda nje kuwa na bwana kama kawa.

uMENISHTUA MZURIMIE
 
haya beba fupa lililomshinda fisi,aisee wanaume kweli huwa sijui mwafikiri nini kwa kweli jamani??????

hIVI INA MAANA MWANAMKE AKIACHIKA HARUHUSIWI KUPEWA HAKI YA KIMWILI TOKA KWA MWANAUME ATAKAYEKUBALIANA NAYE?
 
Ye wiiii nimechekaje unataka jibu watu vibaya sababu ya kuita hivyo, kwani sio? Yeye anataka nini kuingilia ndoa ya mwanamke mwingine?
Wameachana wapi umesema mwenyewe alihama kikazi, mbona naona wewe ndio unakanma lishwa limbwata?

Mumewe atakuja kukufanyizia, mke wa mtu sumu. Shauri zako utakiona nenda tulia na mkeo. Tamaa ya mapenzi sijui anakupa pesa itakutokea puani.

Wala hanipi pesa; napenda kampani yake tu na mambo mengine ya 6 x 6. Nimeishafanya ufuatiliaji na kugundua kuwa aliachika kwa mume wake kweli, hivyo kesi ya kwamba natembea na mke wa m2 haipo kabisa ndo maana hata kwake naenda bila wasi.
 
Heeeeeeeee ........ makubwa ........... tena makubwa sana, haya basi sio kumuumiza mkeo, umefurahi sasa!!!!!

huyo angekuwa ndio hubby wangu ningemkata huo mguu wa tatu, hivi anafikiri wife wake akigundua atachekelea? Ni bora asizae na huyo mwanamke kuepuka kumuumiza mkewe endapo atajua.
 
You are looking trouble, Unatafuta kupigwa risasi. you dont look for a second opinion to bung somebody's wife!
 
Hapa penye weusi mi napigia mstari.

Ndoa ikishavunjika sio ndoa tena. Pia ndoa ya kwangu naitunza na kuilinda; kuchepuka kidogo nje hiyo ni kawaida ya wanaume tulio wengi, ninachokiogopa ni kuzaa naye tu.
 
huyo angekuwa ndio hubby wangu ningemkata huo mguu wa tatu, hivi anafikiri wife wake akigundua atachekelea? Ni bora asizae na huyo mwanamke kuepuka kumuumiza mkewe endapo atajua.

Tangu amenidokezea suala la kuzaa na mimi nimepunguza speed za kwenda kwake. Leo asbh kanipigia cm ananiomba leo niende tukashinde wote kwake, najiuliza mara mbili-mbili - NIENDE NISIENDE?
 
huyo angekuwa ndio hubby wangu ningemkata huo mguu wa tatu, hivi anafikiri wife wake akigundua atachekelea? Ni bora asizae na huyo mwanamke kuepuka kumuumiza mkewe endapo atajua.

Copy: Tutor B

nahisi jamaa bado hajielewi kabisa ......... tena KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!! fyuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimekupata ila inahitaji roho ngumu kukatisha penzi kwa m2 ambaye hajakukorofisha, si m2 tegemezi kwani ana kazi yake tena nzuri tu; ana maisha yake standard,
Ushauri wako nitaufanyia kazi mimi na yeye then majibu nitayaleta hapahapa.
Good boy!!!
 
Tangu amenidokezea suala la kuzaa na mimi nimepunguza speed za kwenda kwake. Leo asbh kanipigia cm ananiomba leo niende tukashinde wote kwake, najiuliza mara mbili-mbili - NIENDE NISIENDE?

wala usiende, huo muda anaotaka ashinde na wewe ni bora ukashinde na mkeo mle bata, huyo ni kiruka njia atakuletea maradhi buree. Kama mkeo unampenda sana achana na huyo.
 
Ndoa ikishavunjika sio ndoa tena. Pia ndoa ya kwangu naitunza na kuilinda; kuchepuka kidogo nje hiyo ni kawaida ya wanaume tulio wengi, ninachokiogopa ni kuzaa naye tu.

Copy: NatJ
 
Last edited by a moderator:
Huyo sio mke wa m2 - wameishaachana kitambo, anaishi mwenyewe na mume wake yuko dar anaishi kivyake. Kesi ya mke wangu kugegedwa siwezi kuzuia kwa kuwa sishindi naye, nina majukumu yangu ya kikazi na yeye ana majukumu yake ya kikazi. Tunakutana nyumbani kwa ajili ya majukumu ya kifamilia na kindoa.
Tutor B hapo kwente red umenisikitisha maana umeonesha huwezi kuutumia uanamme wako kama mwanaume kwenye nyuma na inaonesha hata wewe na mkeo mna matatizo kwenye ndoa yenu, yaani hata mkeo akigegedwa nje wewe poa tuu maana huwezi kuzuia hilo looh, pole sana.
Hapo kwenye blue ushawekewa kunshutana na huyo bidada aliyekuwa bukoba unayetaka awe nyumba ndogo yako na hapo hutakohoa wala hutapiga chafya kwake. Maana hiyo ni zaidi ya limnbwata, kwa taarifa yako wanawake wanakuwaga zaidi ya mafia wakiamua kufanya ujasusi. Atabeba mimba ya mwanaume mwingine na wewe utailea na akizaliwa toto litakuwa tofauti na wewe na utalilea kama lako vile. Pole sana ndo ushapotea tayari na wala hujastuka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom