Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

Mmmh, kaz kwelikweli, Duniani kweli kuna mambo, ningekuwa mm nisingeweza kuanika upumbavu kama huu hadharani, lo! "Kweli AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA, AFANYA JAMBO LITAKALO ANGAMIZA NAFSI YAKE" kwakuzini ufahamu, hekima na weledi wako umepotea ndo maana ukaona ni sahh kutuanikia tujue ulivyo ishiwa. Lakn usisahau chochote apandacho m2 hakika atavuna mara dufu! Nakushauri endelea wala usiache, mdomoni ni kama asari, ikifika tumboni ni kama shubiri, kaz ni kwako!!
Sasa mkuu kama nisingesema ingekuwa vipi????? Si bora umejua na ukanishauri.
 
Ingekuwa haya yanayozungumzwa hapa yanafanyiwa kazi kusingekuwa na nyumba ndogo biashara ya ukahaba and the likes kwani wachangiaji wa jf ndiyo hao tunaishi nao huku mtaani so guys acheni unafiki aliye juu anaona mpaka ndani ya mioyo yenu bora kutocomment

Afadhali yako wewe umeliona hili. Wanavyonishambulia utafikiri nachart na malaika wote. Ina maana wao hawagegedi nje ya ndoa zao?
 
wakati mwngine mcwe mnakurupuka kuoa wakati bado nafsi zenu zinatamani vinono.

Wazuri kila cku wanazaliwa. Sasa wewe endelea kumuendekeza afande huone ndoa yako itakavyokuja kuyumba hayo mambo waachie single boys.
unajua rafiki mimi huwa mkweli kwenye suala la kuanzisha mahusiano; kwa siku ya kwanza nilimweleza ukweli na hilo suala la kwa nini asiwe na m2 ambaye yuko single nililiongelea ila yeye alionesha kutokuwapenda wa2 walio single. Na tangia mwanzo nilimweleza kuwa mimi nimeoa; hivyo kwenye mazungumzo yetu alinionya niwe makini nisije jisaau mama watoto akajua.
 
Huwezi amini hao wanaokuponda wako baa na nyumba ndogo saizi unafki tu umewajaa asiye na dhambi na awe wa kwanza kukupiga jiwe
Afadhali yako wewe umeliona hili. Wanavyonishambulia utafikiri nachart na malaika wote. Ina maana wao hawagegedi nje ya ndoa zao?
 
Walio single wababaishaji mwenyewe siwataki,wewe endelea kula maisha ila usizae nae
unajua rafiki mimi huwa mkweli kwenye suala la kuanzisha mahusiano; kwa siku ya kwanza nilimweleza ukweli na hilo suala la kwa nini asiwe na m2 ambaye yuko single nililiongelea ila yeye alionesha kutokuwapenda wa2 walio single. Na tangia mwanzo nilimweleza kuwa mimi nimeoa; hivyo kwenye mazungumzo yetu alinionya niwe makini nisije jisaau mama watoto akajua.
 
huwezi amini hao wanaokuponda wako baa na nyumba ndogo saizi unafki tu umewajaa asiye na dhambi na awe wa kwanza kukupiga jiwe

nimekupata wa kwetu; naenda zangu kumuona then jioni natoka na wife kwenda harusini kwa raha zetu.
 
heee!yani umsaliti mkeo
bado unataka na mtt umletee
jua na mkeo yupo anaeomba azae nae
kama wewe unavyoombwa!!wanaume mnachosha!!
 
yaani una mke na watoto halafu unaomba ushauri wewd na huyo mwanamke acheni upuuzi.....na mkeo akigundua na yeye atafute serengeti boy maana wewe umeshindwa kumheshimu mkeo na umeshindwa kuheshimu nyumba yako
 
Kwani kasema anataka kumletea mtoto?anataka kuzaa na huyo askari afu askari atamlea mwanae kwani uwezo anao shida iko wapi hapo?

ameishafunga kuzaa hivyo sina wasiwasi katika hilo la mke wangu kuzaa na mwanaume mwingine.
Swali la nyongeza mheshimiwa . ......
 
kwani kasema anataka kumletea mtoto?anataka kuzaa na huyo askari afu askari atamlea mwanae kwani uwezo anao shida iko wapi hapo?

nafikiri hakusoma vizuri mada inasemaje.... Kila mwanamke atawalea watoto wake tu; akishazaa tunafanya mpango wa kujenga ili atoke kwenye nyumba za serikali
 
yaani una mke na watoto halafu unaomba ushauri wewd na huyo mwanamke acheni upuuzi.....na mkeo akigundua na yeye atafute serengeti boy maana wewe umeshindwa kumheshimu mkeo na umeshindwa kuheshimu nyumba yako

namuheshimu mke wangu ndo maana nafanya kwa kujificha sana ili asije akagundua mambo yakawa nomi
 
hilo ni juu yako kuamua kama uwezo upo na umefall 4real mjengee kwan nn bana watu wanahonga hadi hummer

mi nafikiri utumie lugha nzuri; mi simuhongi kwa kuwa ni jukumu la mwanaume kumtunza mwanamke anayempagawisha
 
Kwa hiyo nichomoe kiaina eh! Huyo mdada anaonesha kunipenda sana; nikimuacha naona kama nitakuwa sijamtendea haki. Ameishanitambulisha kwa marafiki zake wengi kwamba mi ni mtarajiwa wake.

je mkeo utakua umemtendea haki?think twice
 
Kwani kasema anataka kumletea mtoto?anataka kuzaa na huyo askari afu askari atamlea mwanae kwani uwezo anao shida iko wapi hapo?

vyote hivyo ni usaliti
azae asimletee au amletee mkewe
ishu ni kwamba akae ajenge ndoa yake
amfanye mke wake amvutie kama huyo hawara ake!!thats all!!
 
Back
Top Bottom