Yaani nyie waume wa ndoa???? Nachotaka kusema kimeshaandikwa sana huku jf itakuwa marudio ila kwa kukusaidia nakukumbusha tuu. Mke wa mtu sumu kaachinjo. Kama umefanikiwa kumgegeda hiyo siku tena kwake bila kubambwa iko siku mtakamatwa na kabla hujatolewa uhai itakuwa aibu kwako, kwa mkeo na watoto na ndugu zako. Acha kulewa na mahaba ya masaa kadhaa hayana tofauti na anayokupa mkeo, pia usikubali kuwa baba huruma, unamhurumia huyo kwa kupigwa na mumewe mkorofi kwani hakumjua kabla hawajaoana? Tosheka na mkeo anaweza kuwa anao wengine kibao kama wewe anawapanga siku ukijastuka ushaukwaa na mkeo ushamuambukiza, shaurilo.
Umewahi kuwaza kuwa unapokuwa katikati ya kumdinya mwanamke mwingine mkeo nae huko aliko anamkatia mtu kiuno??? Fikiri unachomfanyia mtu ukifanyiwa utatabasamu, utacheka , utalia, utapigana au utaua mtu kabisa.
Mwambie huyo mwanamke atafute mtu mwingine ambae si mume wa mtu an aachane na wewe, mgegede mkeo tuu!!!