Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

Kama wewe muislam Ruksa chukua mke wa pili huyo.

Ila hakikisha ameshaachana na mwenzake kwanza.

Naona Wabeijing wamechachamaa kweli hapa.
 
shauri yako.wanaume wengine hawakubali kuachia ndoa kirahisi rahisi.kama mke afande mbona alikuwa anadundwa na mume wake?na huyo mume akisikia kuwa ana mtu,yatakugeukia wewe.utadundwa.kuna kijana mmoja juzi amevunjwa miguu katembea na mke wa mtu.mke unae,achana na huyo dada.kama mke wako yupo mbali,kuna njia nyingi tu za mawasiliano na mkaridhishiana.jiulize jee mke wako akiwa akiwa na mpenzi pembeni utajisikiaje.maana dunia ya leo,"if you do me,i do you"
 
Kwa Usalama wako:-
Hayo yote uliyo shauriwa na Wapendwa weka maanani, Kundi la Wanaume fulani linajulikana kwa kurukaruka na kwa kuzini kila wapatapo 'VICTIMS" ukweli kuwa madamu upo hai utaendelea kupendwa hiyo sii "big deal"... kifupi, yaani utaharibu maisha yako na maisha ya familiya yako kama walivyo kuonya wanaJF. Tabia na Uhusiano wako utaleta matokeo kadha za kijamii, Watoto haramu wengi,Vunja ndoa za wenzio, Maisha bila muelekeo,kukumbwa na madhara ya ngono, NK.
ushauri kuwa na MSIMAMO na ujirudi uishi na mama watoto wako mujenge TAIFA imara !!
Good luck na UBARIKIWE na familya yako halali.
 
acha kunitisha wewe!!! Risasi toka wapi????? Dem mwenyewe afande tena ana cheo kikubwa tu.

ha ha haa...! Tena ni riafande... We TutorB wewe naona unataka kupanda mlima wa miiba wakati uko peku lol!
 
wala usiende, huo muda anaotaka ashinde na wewe ni bora ukashinde na mkeo mle bata, huyo ni kiruka njia atakuletea maradhi buree. Kama mkeo unampenda sana achana na huyo.

Nimekuzuia kumtukana dem wangu; mbona hunielewe wwe NatJ; nakuheshimu sana naomba nawe umuheshimu mpenzi wangu.
 
ha ha haa...! Tena ni riafande... We TutorB wewe naona unataka kupanda mlima wa miiba wakati uko peku lol!

Unaendelea kunitukania dem wangu eh!
 
acha kunitisha wewe!!! Risasi toka wapi????? Dem mwenyewe afande tena ana cheo kikubwa tu.

Oooh! Afande anazuia usipigwe risasi sio? Endelea..........!

Methali 6 soma I dont care wewe ni Isalamic au Christian
[SUP]23[/SUP] Kwa maana amri hiyo ni taa,+ na sheria ni nuru,+ nayo makaripio ya nidhamu ndiyo njia ya uzima,+ [SUP]24[/SUP] yakulinde na mwanamke mbaya,+ na ulimi laini wa mwanamke mgeni.+ [SUP]25[/SUP] Usiutamani urembo wake moyoni mwako,+ wala asikuchukue kwa macho yake yenye kung’aa,+ [SUP]26[/SUP] kwa sababu ya mwanamke kahaba mtu hubaki tu na kipande cha mkate;+ lakini mke wa mwanamume mwingine, yeye huwinda hata nafsi yenye thamani.

Yeyote anayefanya uzinzi na mwanamke amepungukiwa moyoni;+ yule anayefanya hivyo anaiangamiza nafsi yake mwenyewe.+ [SUP]33[/SUP] Atapata pigo na kukosa heshima,+ na shutuma yake haitafutiliwa mbali.

Narudia tena utakufa.............!

kwa usalama wako:-
hayo yote uliyo shauriwa na wapendwa weka maanani, kundi la wanaume fulani linajulikana kwa kurukaruka na kwa kuzini kila wapatapo 'victims" ukweli kuwa madamu upo hai utaendelea kupendwa hiyo sii "big deal"... Kifupi, yaani utaharibu maisha yako na maisha ya familiya yako kama walivyo kuonya wanajf. Tabia na uhusiano wako utaleta matokeo kadha za kijamii, watoto haramu wengi,vunja ndoa za wenzio, maisha bila muelekeo,kukumbwa na madhara ya ngono, nk.
Ushauri kuwa na msimamo na ujirudi uishi na mama watoto wako mujenge taifa imara !!
Good luck na ubarikiwe na familya yako halali.

nashukuru kwa ushauri wako; nawe ubarikiwe.
 
Oooh! Afande anazuia usipigwe risasi sio? Endelea..........!

Methali 6 soma I dont care wewe ni Isalamic au Christian
[SUP]23[/SUP] Kwa maana amri hiyo ni taa,+ na sheria ni nuru,+ nayo makaripio ya nidhamu ndiyo njia ya uzima,+ [SUP]24[/SUP] yakulinde na mwanamke mbaya,+ na ulimi laini wa mwanamke mgeni.+ [SUP]25[/SUP] Usiutamani urembo wake moyoni mwako,+ wala asikuchukue kwa macho yake yenye kung'aa,+ [SUP]26[/SUP] kwa sababu ya mwanamke kahaba mtu hubaki tu na kipande cha mkate;+ lakini mke wa mwanamume mwingine, yeye huwinda hata nafsi yenye thamani.

Yeyote anayefanya uzinzi na mwanamke amepungukiwa moyoni;+ yule anayefanya hivyo anaiangamiza nafsi yake mwenyewe.+ [SUP]33[/SUP] Atapata pigo na kukosa heshima,+ na shutuma yake haitafutiliwa mbali.

Narudia tena utakufa.............!

Kila nafsi itaonja mauti.
 
shauri yako.wanaume wengine hawakubali kuachia ndoa kirahisi rahisi.kama mke afande mbona alikuwa anadundwa na mume wake?na huyo mume akisikia kuwa ana mtu,yatakugeukia wewe.utadundwa.kuna kijana mmoja juzi amevunjwa miguu katembea na mke wa mtu.mke unae,achana na huyo dada.kama mke wako yupo mbali,kuna njia nyingi tu za mawasiliano na mkaridhishiana.jiulize jee mke wako akiwa akiwa na mpenzi pembeni utajisikiaje.maana dunia ya leo,"if you do me,i do you"

nimekupata kiongozi
 
Nimekuzuia kumtukana dem wangu; mbona hunielewe wwe NatJ; nakuheshimu sana naomba nawe umuheshimu mpenzi wangu.

teh teh teh! Angekuwa ni mkeo ningenyamaza.. Nawachukia sana watu wanaoingilia ndoa za watu kwa ma kusudi.
 
kama wewe muislam ruksa chukua mke wa pili huyo.

Ila hakikisha ameshaachana na mwenzake kwanza.

Naona wabeijing wamechachamaa kweli hapa.

mimi ni mkristo tena kkkt;
kuachana wameishaachana na binafsi nimeishamfuatilia huyo bwana na kuonana naye ana kwa ana japo hakunitambua.
Kesi ninayoiogopa ni kuzaa naye mtoto then akaja leta nyodo kwa mke wangu
 
Mngeshauriana na mkeo. Labda atamhurumia huyo dada na umuoe hata kwa ndoa ya kimila. Kwani mkeo nae hana small hausi bado?
 
teh teh teh! Angekuwa ni mkeo ningenyamaza.. Nawachukia sana watu wanaoingilia ndoa za watu kwa ma kusudi.

Sasa dada yangu hata huyu aloachika naye kuna kipindi anajisikia kupewa mambo; atapewa na nani? Ambao hawajaoa anasema hawezi kuwapenda kwa kuwa ni wasumbufu; kwa umri wake anapokuwa na mimi anadai heshima inakuwepo kwani anaonekana kwamba ana mume na si vijana wanaolegeza suruali na kunyoa viduku.
 
Mngeshauriana na mkeo. Labda atamhurumia huyo dada na umuoe hata kwa ndoa ya kimila. Kwani mkeo nae hana small hausi bado?

Eh! umekuwaje na wewe? Maneno gani sasa unaniambia? yaani nishauliane na mama watoto wangu kuhusu hili kweli?
 
Tutor B hapo kwente red umenisikitisha maana umeonesha huwezi kuutumia uanamme wako kama mwanaume kwenye nyuma na inaonesha hata wewe na mkeo mna matatizo kwenye ndoa yenu, yaani hata mkeo akigegedwa nje wewe poa tuu maana huwezi kuzuia hilo looh, pole sana.
Hapo kwenye blue ushawekewa kunshutana na huyo bidada aliyekuwa bukoba unayetaka awe nyumba ndogo yako na hapo hutakohoa wala hutapiga chafya kwake. Maana hiyo ni zaidi ya limnbwata, kwa taarifa yako wanawake wanakuwaga zaidi ya mafia wakiamua kufanya ujasusi. Atabeba mimba ya mwanaume mwingine na wewe utailea na akizaliwa toto litakuwa tofauti na wewe na utalilea kama lako vile. Pole sana ndo ushapotea tayari na wala hujastuka.
Mkuu umejuaje kwamba huyo dada ni wa Bukoba? Au unanifahamu nini?
 
Sahihisha hiyo kauli yako; dem wangu usimuite kahaba. Pia sio mke wa m2 mbona hujanielewa rafiki yangu? Alishaachana na mume wake.

nilitaka kukupuuzia nikijua umepitiwa tu kuleta upuuzi huu hapa lakini kwa hii comment acha nikuchane.we unaonekana ni changudoa mzoefu wa kiume so umekuja kutafuta sifa kwa machangudoa wenzio wa kike watakaokusifia na kukupm muendeleze uchangudoa wenu!mwanamke aliyethubutu kumvulia chupi mwanaume mwingine asiye mumewe ni kahaba huo ndio ukweli mchungu ukipenda meza ukibisha ondoka kimya kimya.we kukudanganya anataka kuzaa na wewe ukajiona umepata malaika?huwajui wanawake wewe.kanye ukalale na kahaba mwenzio.
 
Back
Top Bottom