Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™... Basi usijali utatuka hapo na muhusika hapo.. mie zangu zitabaki dua.. shela livaliwe suti ivaliwe furaha itawale ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Ariririririririiii unadate suti mapema, utakua best man natumai๐Ÿฅฐ
 
๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š...
hayo ya Mc GharaB naona mtapanga wenyewe.. Si unajua sheria ni mipangilio ya Bibi na Bwana harusi.. nafikiri hata mavazi n.k mtapanga wenyewe sie ni kuja kushuhusia tukioa na kudoganga misosi
Hapo sawa shem๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ngoja nije PM hapo chap
Watoto hawatakiwi kucheleweshwa shule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom