Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Rafiki ! Kuna vitu tu mtakuwa mmemkosea .. haiwezekani awe na kauli za hivyo bila sababu.. au mzabzab ulitendwa na kupigwa tukio na mafia alie bobea nini humu Jf 😅😅
Huenda rafiki. Ila ngoja aje aseme aisee.

Na pia rafiki ikitokea ana sababu za Msingi nitajitolea kumtaka radhi ili hii chuki aliyonayo iishe. 😂😂
 
Huenda rafiki. Ila ngoja aje aseme aisee.

Na pia rafiki ikitokea ana sababu za Msingi nitajitolea kumtaka radhi ili hii chuki aliyonayo iishe. 😂😂
aisee rafiki ! sidhani kama mzabzab atakuwa na sababu za msingi.. zitakuwa kanyimwaa anavyotaka 😅😅.. anasahahu kupewa sio lazima chakupewa sio chako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom