Anatafutwa fundi chrehani mzoefu

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Nina mdogo wangu ambaye amemaliza kozi ya kushona nguo lakini natafuta fundi atakayempatia uzoefu wa kutosha
awe anajuwa kudarizi pia
atapata malipo gani?

1. Kodi atakuwa halipi ya mkataba wa chumba
2. Umeme bure
3. Ulinzi bure

mgao
atapata robo ya gharama ya kusona nguo

wasiliana na 0713 68 96 65
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom