PostGE2025 Anatafuta sababu ya kufungia Kanisa Katoliki

PostGE2025 Anatafuta sababu ya kufungia Kanisa Katoliki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
MANGE KIMAMBI
Hivi hao mamluki wanaosema TEC ni wadini hivi ni kwamba wanadhani Watanzania hawana kumbukumbu hizi? Hii ni mifano michache tu ya matamko makali ya kanisa la TEC kipindi cha Magufuli.Kanisa katoliki lilimkalia Magufuli kooni mpaka alidata bora hata huyu muuaji Samia wanamuacha apumue kidogo. Slide #1 -Kanisa katoliki lilitoa statement kali kupinga mauaji ya kipindi kile kule kibiti pamoja na Tundu Lissu kupigwa risasi na wananchi kutekwa- Magufuli alikuwa ni mkatoliki na kanisa hili halikujali, kaniisa hili lilisisima na wananchi kudai haki za wapinzani na wananchi kwa ujumla. Slide #2 - Shambulio la Tundu Lissu-TEc walitoa waraka mkali bila kujali Rais ni mkatoliki mwenzao. Slide #3 - Magufuli alitangaza Tz hakuna Corona na aligoma kabisa kuitambua Corona Tanzania ila TEc walitangaza kuwa corona ipo na wao watu wao wamefariki, walimshushua Magufuli bila kuogopa. Magufuli alifariki wiki 2 baada ta tamko hili la TEC. Yani Mpaka Magufuli anakata roho hili kanisa bado lilikuwa linapambana nae. Slide #4 - Magufuli alifika sehemu akaanza kuwachamba Kanisa katoliki sababu matamko yalikuwa mazito na ya kudai haki. Slide #5 - Oneni, Magufuli alipaniki juu ya matamko ya TEC mpaka alitishia atawafungia. Imagine kanisa katoliki lilidai haki kwa niaba ya wananchi mpaka Magufuli akatishia kuwafungia alafu leo Samia anatuma mamluki waje kusema TEC wanampinga yeye sababu ya dini? Kama TEC wanampinga Samia sababu ya dini , Magufuli mkatoliki mwenzao walipinga kwa sababu zipi? Mje mtuambie nyie wahuni mnaojiita Waislam? Tatizo masheikh wengi TZ hawajasoma so hawajui historia ya Kanisa Katoliki. Hili kanisa linajuliakna duniani kwa kutoa matamko ya kudai haki, ndio maana mpaka kiongozi wao, POPE haraka sana alitoa tamko juu ya mauaji ya Tz. NA IKUMBUKWE KWAMBA KIPINDI TEC WANAPAMBANA NA MAGUFULI BAKWATA NA TAASISI ZINGINE ZA KIISLAM ZILIKUWA ZINAMTETEA MAGUFULI MNOOOOO. Kwa kifupi taasisi za Kiislam Tz hazijawahi kuwa upande wa wananchi au upande wa haki.Wao siku zote wako upande wa CCM. Matamko ya hili kanisa yalikuwa yananipa nguvu sana kupambana na Magufuli leo wanaitwa wadini sababu ya kuwasemea watz? mlitaka na wao wawe kama Mwamposa anaetetea wauwaji?
1763625514963.jpg
 
Mimi mwenyewe ni muislamu ila hawa mashekhe njaa wanashusha hadhi ya uislamu tunajumuishwa waislamu wote kuwa hamnazo
yaani hili kama Bakwata CCM hawatalikemea la kujitolea matamko ovyo linatuharibia Waisilamu
 
Ile ni taasisi ya kimataifa, sio kama yale makanisa ya kina gwajima and alike. Kanisa lina hadi balozi wake, mwanadiplomasia wa Papa utaanzaje kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Vatican/Italy? Huo ni mziki mnene huwezi kufuta kanisa hilo kubwa ulimwenguni kirahisirahisi kama kama makanisa ya kina kakobe, mwingira, mwamposa, lusekelo, mwacha, kasambale, bundala na wale wote waliosajiliwa mambo ya ndani
 
yaani hili kama Bakwata CCM hawatalikemea la kujitolea matamko ovyo linatuharibia Waisilamu
CCM nafkiri wameishiwa mbinu kama walivyotengeneza tume huru ya kitapeli na ndiyo wanatumia mbinu ileile kutengeneza mashekhe feki wa kitapeli naona mbio zao zimefika ukingoni kichekesho kingiine ni tume ya uchunguzi wa vurugu na mauaji siku ya uchaguzi miongoni mwa wajumbe ni aliyekuwa waziri wa ulinzi na sizani kama hata ofisi kama tayari amekabidhi yaani mbinu zimekwisha
 
Kufungia katoliki maana yake ni kufungia makanisa yote na ukristo kwa ujumla. Ni shughuli pevu kutekeleza takwa hilo ni hatari zaidi
 
  • Thanks
Reactions: vnn
Huo ndio ukweli

Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
Kanisa katoliki sio kanisa la Mwamposa aliyejenga hoteli mbeya waumini wakatomb@ne. Kanisa katoliki linamiliki na kuendesha vyuo,taasisi, shule na mahospitali haa nchini.
 
Huo ndio ukweli

Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
Ukiifuta TEC, maanake umeifuta Hospitali ya Bugando iliyoko Mwanza, umefuta vyuo vikuu vyote, shule na hospital zilizoko chini ya TEC.
Kwa kifupi ukifuta TEC unakuwa umeharibu afya, elimu.
 
Huo ndio ukweli

Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
Wakatoliki hawagusiki hata kidogo. Kama Samuya anadhani ni mwanamke rijali akalifungie kanisa katoliki. Atajua hajui!
Aendelee tu kufungia hayo makanisa ya mchongo ya akina Gwajima na wahuni wengine.
 
Back
Top Bottom