Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 15,505
- 27,501
Kagame ubabe wake wote hajathubutu kulifungia hilo kabisa ingawa watutsi wenzie wanalituhumu likishirikiana na Intrahamwe kuwauwa watutsi.
Hiyo nguvu hana wala vyombo vyake vya usalama na ulinzi havina.
Humo Kuna watiifu wa hao jamaa.
Hiyo Vita ya kiimani. Unafikiri kwanini Marekani amewashindwa Taleban kule Afghanistan?
Mchana upo nao Askari wako, baadaye jioni au usiku wapo upande wa adui yako wanamsaidia kukushambulia au kujihami na mashambulizi yako.