PostGE2025 Anatafuta sababu ya kufungia Kanisa Katoliki

PostGE2025 Anatafuta sababu ya kufungia Kanisa Katoliki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huo ndio ukweli

Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
Dola haishindwi hasa kwenye Utawala wa CCM wanaweza sana ilimradi madaraka wanao.
 
Ufungie TEC
Shule, hospitali, na akaunti zao zote ziko chini ya The Registered Trustees of the .....(shirika).... Ambazo pia license yake zinatoka kwa The Registered Trustees of the (Arch)Diocese of ...(jimbo)... Ambao ni watiifu kwa TEC.

Ukiwafuta inabidi akaunti zote hizi uzifreeze. Maana yake u cripple elimu na afya ya nchi nzima. Na uchumi uliojengwa around hizi taasisi.

Jishikilie
 
Roma haikujengwa siku moja mzee simuwqzee vibaya ila najua ilo wazo akiletewa mezani hata sasa hivi ni bora akaondoka yeye ni hatari zaidi ya hatari yenyewe yani it will never happen never
 
Huo ndio ukweli

Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
Wakati kobaz wenzie walishamwaga mboga, General Mabeyo ambaye ni Mkatoliki ndo alimuweka kwenye hicho kiti, atamwambia nini??
 
Huo ndio ukweli

Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
Nimecheka sana ingawa mimi ni Muisilamu hiyo vita haiweza hawa jamaa ni hatari,kwanza wanafwata haki ndiyo maana wanapendwa na wapigania haki wote halafu hawana nja ndiyo maana ngumu kuwahonga tatu wamesoma na wana hekima
 
Mimi mwenyewe ni muislamu ila hawa mashekhe njaa wanashusha hadhi ya uislamu tunajumuishwa waislamu wote kuwa hamnazo
 
Back
Top Bottom