Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,182
- 166,178
- Thread starter
-
- #81
ukimkuta ameishika usimuulize mkate kibao then endelea kulala huone kama atarudia kuchezea sm yako.
Haya ni mapenzi au ugaidi?
rafiki kumbe Bujibuji ndo shem?
yaani nikionaga hiyo avatar huwa lazima nitabasamu maana huyo mtu huwa ananifurahisha sana
mwaJ, mara hii watoto wangu unampa house boy Mwita Maranya kisa tu amejazia juu na chini?We we weeeeeeee! Bujibuji wala sio shem wako shosti! Sijui kazuka kutoka wapi, kaja kuchanganya watu! Mie nilikuwa tu nasadia kumpepea wakati mapigo yake ya moyo yalipobadilika na kuanza kupigia nyayoni pale alipogundua kaachwa kwenye mataa na Madame B sababu ya komandoo. Shem wako wa ukweee ni Mwita Maranya na watoto wetu ni Zion Daughter na snowhite.
Fukuza hiyo houseboy;
au
Nawe hamia kwa housegirl
Mwita Maranya njoo huku uone huyu Bujibuji anavyokuletea dharau! Eti anadai watoto wako Zion Daughter na snowhite ni wa kwake. Njoo uoneshe ushujaa wako wa jadi mume wangu! Lol!mwaJ, mara hii watoto wangu unampa house boy Mwita Maranya kisa tu amejazia juu na chini?
mwaJ mama watoto wangu, umenichoka hadi unaniitika mkora aje kunimaliza? Kumbuka tuliko toka, usidanganyike na ubaunsa wa chini mke wangu, pia kumbuka ivumayo haidumu.Mwita Maranya njoo huku uone huyu Bujibuji anavyokuletea dharau! Eti anadai watoto wako Zion Daughter na snowhite ni wa kwake. Njoo uoneshe ushujaa wako wa jadi mume wangu! Lol!
mwaJ mama watoto wangu, umenichoka hadi unaniitika mkora aje kunimaliza? Kumbuka tuliko toka, usidanganyike na ubaunsa wa chini mke wangu, pia kumbuka ivumayo haidumu.