Anasema amechoka kuvumilia, tufanye mapenzi kabla ya ndoa

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,099
Inaweza ikashangaza ila mimi ni Mwanaume, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.

I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie ananisikiliza but najua deep down hanielewi.

Ushauri wowote juu ya sex kabla ya ndoa.
 
Hakuna kitu mwanaume anahitaji kwa mwanamke zaidi ya sex na hakuna kitu mwanamke anahitaji kwa mwanaume zaidi ya pesa (msaada)

Hili ndio lengo hasa kubwa la kuwa hata na mpenzi nashangaa maneno haya sana yanatoka kwa wanawake walio wengi kuwa tusisex mpaka siku ya ndoa, hili linapotoka kwa mwanaume nahisi kuna tatizo mahali.
 
Haahahahahah mwamba testosterone level zipo chini sana bila shaka.
 
Mmmh aisee au huna nguvu za kiume. Ingekua mwanamke ndio anasema hivi nisingeshangaa ila mwanaume

Kuna msichana ilikua hivi hivi honeymoon ndio anagundua mume wake hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Ikabid aende kanisani ndoa ikavunjwa
 
Haahahahahah mwamba testosterone level zipo chini sana bila shaka
Haaa mimi nahisi kuna tatizo mahali maana sijawahi kusikia hili la mwanamke ndio anataka sex halafu mwanaume analazimisha mpaka mfunge ndoa?

NB: Mwanaumke anakukazia hivyo ili asijejiingiza kwenye kitanzi cha ndóa halafu mashine yako ikawa haisimami hili ni tatizo kubwa mnoo.
 
Mmmh aisee au huna nguvu za kiume. Ingekua mwanamke ndio anasema hivi nisingeshangaa ila mwanaume

Kuna msichana ilikua hivi hivi honeymoon ndio anagundua mume wake hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Ikabid aende kanisani ndoa ikavunjwa
Nadhani wanaume wenye madhaifu haya wanapenda kujificha kwenye maneno kama haya kuwa mpaka tuoane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…