kafanana na wewe farkhina
Kwi kwi kwi kwi, labda naye huwa anapita mitaa ya huko, ila shurti kwa kujifunika.
hii sio jf may b yuko zile website zetu....
Mie silijui hilo jukwaa nalisikia tu.
Hahahahaha...inawezekana eee...at her own risk,tehHahahahaha lol!!! Litakuwa jukwaa la wakubwa ndio maana kajificha...hataki mtu amshtukie 🙂🙂
Nipo rafiki..mamboz
Nilimiss dedication,lol
Mbona i can't see....giza tuuu!!