ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Sa si anajitesa, akitoka hapo kaloa jasho uso mzima
mpaka kwenye nonilihino chezea at your own risk wewe
Sa si anajitesa, akitoka hapo kaloa jasho uso mzima
Sa si anajitesa, akitoka hapo kaloa jasho uso mzima
mpaka kwenye nonilihino chezea at your own risk wewe
Kafaidi lakini kuviona vile alivyotaka kuviona katika jukwaa la wakubwa tena kwa raha zake na bila kubambwa lol!!.
Sio jasho tu, na papuchi....:help:Sa si anajitesa, akitoka hapo kaloa jasho uso mzima
Mhhhh!!! mie hata sijui rafiki, kwangu mie mambo bam bam, hebu check na TANESCO labda wamepunguza umeme wao hata pc imekuwa haina nguvu tena ya kucheza link toka utube. Si unawajua TANESCO na umeme wao wa kusuasua? mara uje kidogo sana mara uje mwingi na kuunguza vitu ali mradi shida tupu!!!
Sio jasho tu, na papuchi....:help:
Hahahaa
Nahisi bundle yangu ilikua inajisuasua,lol
Siunajua tena!
kama alikuwa jukwaa la wakubwa lazima alilowesha jangwa aisee