Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,791
Mkuu,
Asante. Hapa unamaanisha nilikosea kusupport wazo lake la Kutaka kupiga picha.
Tuelewane, Mwanzo nilikataa, lakini baadae likaja wazo, huyu ni demu wangu na sio Mke wangu. So nikataka kujua how Far she will Go, so nikawa nyuma ya Mawazo yake, huku na mimi nikiwa namtafakari ni Binti wa aina Gani.
Yote alofanya jana hayakunipa Head ache, becouse i realized that, there was a Part of her that i did not know. So i choose to know it.
Kama nilikosea, Sawa. Nimeelewa.
Naamini kabla hujaamua kutuliza mawazo yako kwa mwanamke mmoja ni lazima ujiridhishe kuwa anasifa worth fighting For.
Huyu hanipi Presha, nataka kuzijua tabia zake ambazo ni siri. Mpaka uonyeshe ku share nae some interests ndio utapata nafasi ya kuzijua.
Kwa kifupi, Jana niliamua kumtreat much as a Friend than Mpenzi, ili awe huru na mimi afunguke kiu zake, nipate kufanya tathmini kabla ya Maamuzi.
Mimi hata angekuwa barmaid tu ananililia nimpige picha akiwa na wanaume aina aina, kwanza ningejichunguza manhood yangu,isije kuwa sifa yangu ya kuwa mwanaume ishapotea!