Anapenda kupiga picha na mastaa wa bongo

Anapenda kupiga picha na mastaa wa bongo

Kila mtu kuna jambo linalomfurahisha nafsini mwake....ni kama vile mtu anayependa mpira wa miguu....au shabiki nguli wa masumbwi ambapo hufurahia kila amwonapo huyo shujaa wake ...kwa kawaida mapenzi hayo au ushabiki huo wa kitu hupelekea kumpenda pia yule muhusika wa sanaa hiyo au kile ambacho wewe kinakufurahisha....leo hiii si ajabu kukuta umati ukigombania kupata sign ya nyota Fulani si kwa sababu za kingono bali kwa kupenda sanaa yake au kuikubali kazi yake.....na huyo mpenzi wako anaangukia humo kwenye kundi la mashabiki wa kutupwa..ni kama vile wewe ambavyo unamhusudu LIONEL MESSI kinachoshindikana kuonyesha upendo wako kwake na kuikubali kazi yake ni umbali mrefu baina yenu.....
 
Zidi kumpa fursa kama una mpenda ili ujue u Ndani wake zaidi kuna wanawake hua hivyo wengine hupenda cm 24/7 wengine wanapenda kua nyumbani tuu, Sasa hilo alilo fanya amefanya Mbele yako Na ridhaa yako hakukudharau,kunyanyuka nakwenda kupiga picha, hilo Mbona lina tibikaa, usingempeleka huko angekushobokea chumbani ukasuuzika roho yako...
 

Attachments

  • 1429358386930.jpg
    1429358386930.jpg
    50.5 KB · Views: 180
Ila mkuu kwenye kugonga tumia ndomu....si unajua hawa urith wa kwetu...tumia acha mkuu.mm nishasaugi kupenda madem.

Upo sahihi, Kinga ni Muhimu. Ni kheri ni hairishe mechi, kuliko kuicheza bila Viatu.
 
Mie nadhani ulichokifanya sio kitu cha kawaida kwa Mwanaume kufanya. Inawezekana nae alikuwa anakuchunguza. Hapo sasa, sijui nani ni kituko zaidi? Nasikiktika kusema kura yangu ni kwako!

May be. I had my reasonz tho...
 
Hii ngoma bado mbichi bora ugonge mara ya mwisho mwisho usepe kama mgonjwa wa Ebola! ukingangania kuwa nae kinacho fuata n msiba!!
 
There are stupid men in this world and you are one of them.

i was wondering how a real man can do such stupid things, eti "bro mpenzi wangu anataka kupiga na wew pic" ? ili iweje?

hakuwa na haja yakusikiliza huo ujinga ilibidi amkubalie amwambie nenda ukapige nao then akute alishasepa. end of the story.
 
Subiri na siku ukute na sms au kapigiwa na hao "mastaa", sijui utamsaidia kusoma sms au kupokea simu?!!
Flabbergasting...
 
kabla ya kuja kuomba ushauri hapa nadhani ungemsomea mashtaka yake huyo demu wako zen umsikie anasemaje..kama majibu yake yasingekulizisha ndo ungetafuta ushauri...sio kila kitu kinaitaji ushauri kutoka nje..vingine mnaweza kumalizana wenyewe
 
Bado mshamba fulani,jitahidi kumuelekeza atabadilika
 
There was a time, alikuwa busy kutambua watu, as if she was looking for Someone, nikamuuliza vipi kwani au Mnyama(TID) kasepa? Akasema, yupo n anamuona' nikamuuliza... Vipi unataka kucheza nae nn? Akanijibu akienda ndio bye bye mpaka keeeeshoooo... Sasa sikutaka kupanic maana niliwaza, huenda ananitania. But Mhhh.....
Madem kama hao nuksi tupu, anaweza kukufanya hata nawe ukaonekana bo.ya!!! Dem macho juu juu kama huyo kuliwa dakika sifuri tu!!
Dah! Halafu hawa ndio wa kwanza kusema hakuna Wanaume wa kuoa... Jana niliamua kumuacha na kufuata akili zake ili nijue mengi kuhusu yy ambayo sikuwa nayajua...

Hahahahaaaa! mkuu vipimo punguza, only judge for intension hakuna ulazima wa kuangalia hata action.
 
kwa kufupi anakufikishia ujumbe kwamba anapenda mastaa hivyo jitahidi na wewe uwe staaa kivipi utajua mwenyewe...

Hahaha...jamaa inabidi aforce na yy awe maarufu kwa style hiyo
 
Huyo kuku wa kienyeji umemuokota wapi?

Hao ndio wale watu walipoletwa mjini kwa mara ya kwanza unawakuta Posta huko wamepotea kwenda kushangaa bahari...

Au unawakuta mataa wanashangaa taa zinavyobadilika badilika...
 
ilo ni jambo dogo sana sioni cha ajabu apo mbona ww unapenda mpira timu yako ikifungwa unarusha ngumi? tuache kutoana kasoro hutapata aliyekamilika utabaki kusema akuna mwanamke wa kuoa.
 
Mkuu fanya juhudi zako zote upate password zake za mitandao ya kijamii kama fb, twitter, na mengineo kama anatumia.. ukipata angalia kwa makini picha hizo anazituma kwa nani na nani ana comment vipi, huyo inawezekana ameathirika na hulka ya kutaka kuwa juu. Ukigundua hivyo achana nae
 
Huyo bibie ana makosa yake ila weye kosa lako kubwa ni kuja kuomba ushauri hapa kwa suala hili.
 
ipo siku mastaa hao hao was kiume wataanza kuipakua papuchi..muda si mrefu trust me broo naijua saikolojia ya wadada.wewe utaona kama anafanya utani au ni hobby yake lakini muda si mrefu wataanza kumgegeda kama si wameshaanza..!! dizain hiyo ya wanawake hatari sana usije Siku mmetoka out akamwona msanii na akakuacha solemba..!!
 
Back
Top Bottom