Anapenda kupiga picha na mastaa wa bongo

Anapenda kupiga picha na mastaa wa bongo

Mlikua high spirit ee? Huyo gonga acha, labda kama nawewe una mpangi wa kuwa bongo star sawa. Ila kama ni kazi za kawaida utagongewa sana.
 
Huyo mpenzi wako anamishoboko dizain hao jamaa anaowashobokea wakimtongoza ni lazma wamtafune so sepa fasta, yani akiwaona mastaa ww unakuwa second hand crapp noma! ni vizuri umemjua mapema kabla hamjawa na watoto.

Mkuu,

Jana hamu ya bata ilikwisha kabisa. Sasa nikawa najiuliza inabidi simu iwe Full charge all time tunapotoka Out? Maana kila staa anataka wapige nae Picha...
 
Hahahahaaa! Kunawatu limbukeni sana dunia hii.

Hizo picha ataringishia kwa shoga zake na me wengine ili aonekane naye ni top.

Ikiwa unapiga tu huyo dem, no kwere homi!!! But ukiwa na lengo tofauti na hapo bora usepe mapema. Mtu wa hivyo ukimtaza kuchezea mkojo anatafuta mavie.

There was a time, alikuwa busy kutambua watu, as if she was looking for Someone, nikamuuliza vipi kwani au Mnyama(TID) kasepa? Akasema, yupo n anamuona' nikamuuliza... Vipi unataka kucheza nae nn? Akanijibu akienda ndio bye bye mpaka keeeeshoooo... Sasa sikutaka kupanic maana niliwaza, huenda ananitania. But Mhhh.....
 
Hahahahaaa! Kunawatu limbukeni sana dunia hii.

Hizo picha ataringishia kwa shoga zake na me wengine ili aonekane naye ni top.

Ikiwa unapiga tu huyo dem, no kwere homi!!! But ukiwa na lengo tofauti na hapo bora usepe mapema. Mtu wa hivyo ukimtaza kuchezea mkojo anatafuta mavie.

Dah! Halafu hawa ndio wa kwanza kusema hakuna Wanaume wa kuoa... Jana niliamua kumuacha na kufuata akili zake ili nijue mengi kuhusu yy ambayo sikuwa nayajua...
 
Eti dume zima na midevu yake....''shikamoo bro, mpenzi wangu anaomba kupiga nawe picha....''

Mkuu,

Asante. Hapa unamaanisha nilikosea kusupport wazo lake la Kutaka kupiga picha.

Tuelewane, Mwanzo nilikataa, lakini baadae likaja wazo, huyu ni demu wangu na sio Mke wangu. So nikataka kujua how Far she will Go, so nikawa nyuma ya Mawazo yake, huku na mimi nikiwa namtafakari ni Binti wa aina Gani.

Yote alofanya jana hayakunipa Head ache, becouse i realized that, there was a Part of her that i did not know. So i choose to know it.

Kama nilikosea, Sawa. Nimeelewa.

Naamini kabla hujaamua kutuliza mawazo yako kwa mwanamke mmoja ni lazima ujiridhishe kuwa anasifa worth fighting For.

Huyu hanipi Presha, nataka kuzijua tabia zake ambazo ni siri. Mpaka uonyeshe ku share nae some interests ndio utapata nafasi ya kuzijua.

Kwa kifupi, Jana niliamua kumtreat much as a Friend than Mpenzi, ili awe huru na mimi afunguke kiu zake, nipate kufanya tathmini kabla ya Maamuzi.
 
Utakua na tatizo kwenye mfumo wa ubongo wa mbele na hilo hupelekea kidume kama ww kulegea na mwisho wa siku msipo pata tiba ya kuchapiwa mademu wenu na mkaitwa kupiga picha ugonjwa wa uchoko utakutesa sana
 
Kwani wewe mara ngapi unapigaga nae pics...? Kama vipi ongeza % za pics zote zote atatulia tuu
 
Mwanaume upo busy kmpiga picha mchumbako na mabwana wengine daahh usijelalamika hapa umekuta msg kwenye simu yake za hao aliopiga nao picha

Aisee, that just one side of it. Mimi siogopi kuzikuta sms za mwanaume mwingine kwa simu ya Demu wangu. Atleast jana nimepata picha Nzuri ya aina ya Mwanamke nilienae... Ni mm ndio nitatathmini kama ni sawa ama sio sawa kuwa nae.

Mkuu,

Unaweza dhani Mkeo/ Demu wako ni Loyal kumbe behind the scene ni KICHECHE wakuotea mbali... Kumjua Mpenzi wako ni jambo zuri sana, all you need to have is the courage and ability to handle the result.
Wanawake wanasiri na wajua kuzitunza, kuzijua au kumjua, you need to be more than just Bwana ake, au Mume wake.

Huu ni mtazamo wangu.
 
Na kama ujuavyo picha hamuwezi kupiga mmekakamaa ka wanajeshi wakiwa kwenye gwaride, kuna kupakatwa...daaah mwanaume unaweza kuishia kupiga ukunga nyuma ya camera!


Hebu Fumbua akilI zako kidogo. Huyu sio Mke wangu. Ni demu wangu. Sababu ya kufanya hivyo ni mimi kupata nafasi ya kujua kile ambacho sikuwah kukijua...

Niliamua kuwa Rafiki yake zaidi na sio Mpenzi wake, ili nimjue zaidi.
 
Sio sms tu atakuja kukuta picha za hao mastaa wanakula tigo ya huyo mpenzi wake ndo akili yake itakaa sawa

Wewe umekwenda mbali, kwanza elewa lengo langu lilikuwa nn, kisha ndio uandike. Kwani akitaka kugongwa na hao jamaa, anashindwa?

Au unadhan ww unaweza mchunga Mkeo au Mpenzi wako?

Nilichotaka ni kumjua, kisha ndio na mm nijue nafanya nn from there...
 
So amazing how this world was i wondering thats woman

Mkuu, nimeamua kumjua, na ili kufanikiwa ktk hilo nikaona nimpe anachotaka, lakini kichwa changu kilikuwa busy ku analyze kila emotion alokuwa anatoa alipokuwa anapiga nao picha. Yaaani... Anawapenda balaaaaa....

Sasa, nisingefanya hivi jana ningelijua hili? What if angefanya haya baada ya mm kumuoa?

Was i really wrong?
 
Back
Top Bottom