Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Sisemi chochote zaidi ya haya niloandika hapa. Ana qualities zake nzuri zipo but she was not meant to be mine. She was suffocating me brother, miezi mitatu ilinitosha kuamua.
Heshma yako kwa kufunga mdomo katika hilo.
 
nina rafiki yangu yeye anapenda kusex jamani na anapenda wanume wenye uume mkubwa ila nachompendea akiona hamuendani anakupiga chini fasta utasikia miss unamkumbuka fulani ndiyo nimemuacha sababu nitamcheat sana.... naamini si huyu rafiki yangu .. sitoi namba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona mkuu umejihami kuwa hautoi namba
 
Ndugu zangu,

Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.

To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.

Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.

Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Sasa hapo tatizo huja mfeel lakini kupokea hati za kiwanja ume feel? nadhani tatizo ni lako labda kiwango chako cha kwenye majamboz kidogo au hujui unataka nini,haielekei kwa mwanamme kusema No kwenye hiyo kitu sijui labda iwe imeoza else unatatizo mkuu sorry to say this,au niulize labda ulitaka kwa mwezi mara ngapi 2 labda?
 
nina rafiki yangu yeye anapenda kusex jamani na anapenda wanume wenye uume mkubwa ila nachompendea akiona hamuendani anakupiga chini fasta utasikia miss unamkumbuka fulani ndiyo nimemuacha sababu nitamcheat sana.... naamini si huyu rafiki yangu .. sitoi namba
Ha ha haa Miss Chagga.
 
kaka 3 months kila baada ya siku mbili usiku kucha! me nikajua unajuta ametoka mimba zako km 5 aaah bro u cant be serious wanawake watatutukana humu had tukome
 
Dah, kijana unakimbia mchezo?? Hizi chips zipigwe marufuku aisee. Enzi za uajan wetu ungefungwa jiwe urudishwe jandoni. Sasa hapa Zanzibar mtu anao wake wanne wasemeje??
Hata sili hizo mkuu. Watoto watakula nini?
 
Back
Top Bottom