Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Ndugu zangu,

Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.

To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.

Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.

Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Ni Pm namba zake plz
 
Ulikuwa humpi show yenyewe inavyoonekana na km ungekuwa unampa czan km ungemuacha ila ushaur kwa wanaume wenzangu unapotoa dozi toa dozi heavy make wanawake bila ya kumpa heavy dozi wanakuchukulia mwanaume suruali
Probably.
 
Tittle yako umenifanya Nije faster
MIMI wa kwangu anazingua anataka kwa wiki mara moja (1) wakati me nataka mara 4 mpaka 5
Hebu nipe namba yake aache kukusumbua, Maana me nikimpata huyo namuacha hyu
Ha ha haaa.
 
Sema tu wewe humpendi sana umekuwa ukijilazimisha kufanya sex,Binti anakupenda sana na ana mapenzi ya dhati kwako, hakuchoki,sex within two days interval unalalamika penzi lenyewe bado changa!!!!We una matatizo,jichunguze,ni hayo tu.
Yawezekana mkuu. Nitafanya hivyo.
 
Jamaa em rudi kale tunda. Ukioa ww si utapigiwa . kula vizuri, a cha chipsi mayai. Piga kazi mtoto wa kiume. Mapenzi so lazima mfanye usiku. Mgegede kwa timing . mtie mimba kabisa ..
 
Dah, kijana unakimbia mchezo?? Hizi chips zipigwe marufuku aisee. Enzi za uajan wetu ungefungwa jiwe urudishwe jandoni. Sasa hapa Zanzibar mtu anao wake wanne wasemeje??
Anipe mm namba zake
 
Kaka hujanielewa. Ngoma ni nzito. Kuonana J4, Alhamis, Jmosi na Jumapili na hizo zote usiku hamna kulala mwendo wa tano kwenda mbele. Kumbuka sisi wote ni wafanyakazi, usipolala kazini inakuwaje?
Yaaaani kakuzid pumzi eheeeee, nipe namba zake
 
Back
Top Bottom