mtani atakuua .. hana starehe nyingine anayopenda zaidi ya kutiana na kucheza mziki[emoji30] [emoji30] [emoji31] [emoji31] nipe mimi tuu
Sina hamu. Nilikuwa nasikia tu kwa watu lakini yamenikuta.Nichofahamu ile biashara usishiriki na mtu unaefanya nae kazi ofisi moja au mnakaa nyumba moja ya kupanga, yakiharikibika asubuhi hutaki kwenda ofisini wakati ndiyo mkate unakotoka. Kama mnaishi nyumba moja ya kupanga, asubuhi unamlia timing unaoga kabla hajaamka, kasheshe ukimaliza kazi, hutaki kurudi nyumbani.
atakuwa amafanyi vizuriKula mzigo meku umekuja kuaje mjini ttz ni wanaume wa dar aje mkoani huku atakuja kukusimulia
Hanishindi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mtani atakuua .. hana starehe nyingine anayopenda zaidi ya kutiana na kucheza mziki
tatizo anakojoa kama jogoo .. anahesabu mabao huku hajamridhisha mwenzie usiku kucha hakojoi huyo binti akachoka?Ukiona mbwa anaikimbia nyama, jua ina kasoro. Naona vingine hajasema ili kuweka staha ya huyo binti tu
ha ha ha sawa mtani nakutumia pm namba yakeHanishindi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] pokea kianzio[emoji385] [emoji385] [emoji385]ha ha ha sawa mtani nakutumia pm namba yake
asante mtani[emoji8] [emoji8] [emoji8] pokea kianzio[emoji385] [emoji385] [emoji385]
Kaka hujanielewa. Ngoma ni nzito. Kuonana J4, Alhamis, Jmosi na Jumapili na hizo zote usiku hamna kulala mwendo wa tano kwenda mbele. Kumbuka sisi wote ni wafanyakazi, usipolala kazini inakuwaje?Watu wengine sijui mkoje yaani kugegeda baada ya siku mbili unashindwa..!? Kwahiyo ulitaka kwa mwaka mara moja..!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wengine sijui mkoje yaani kugegeda baada ya siku mbili unashindwa..!? Kwahiyo ulitaka kwa mwaka mara moja..!?
Sisemi chochote zaidi ya haya niloandika hapa. Ana qualities zake nzuri zipo but she was not meant to be mine. She was suffocating me brother, miezi mitatu ilinitosha kuamua.Mkuu kwanza nikupongeze kwa kuangukiwa na zigo la dhahabu mbele yako. Kupata binti akupae pesa, akununulie kiwanja and still awe anaDemand sex every two days si jambo la hapa na pale.
Pili lazima ufahamu kuwa sex is hottest on early days of rship, so niseme huyo binti hana tatizo. Siamini kama huyo binti ana tatizo la hypersexuality, kwamba anatawaliwa na fikra za ngono hata ashindwe kufanya kazi, kula, shughuli za kila siku n.k.
Grow like a matured man- play your part and let her play hers. Sasa tayari umeachana nae, chochote kisemwacho positive/negative is non of your business, wewe hustle na maisha, build an empire. Usifatilie maneno ya kibarazani.
Nope. Enafu.Piga mzigo tu
Huwezi. Ni ngumu mno.Unaweza kula chakula ambacho hujaridhika nacho?
Mwanaume wa Dar. Hata kufakamia supu ya pweza ulishindwa? Sad!Ndugu zangu,
Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.
To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.
Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.
Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]