Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Yaani huyo dada ananifaa mimi maana mpenzi wangu pia analalamika kuwa napenda tamu kuliko chakula na kweli mimi ninyime chochote ila nipe tamu ukiweza nipe no yake pm niwasiliane nae itakuwa poa sana mkuu[emoji56]
 
Inasemekana huyo jamaa anasema kinyume chake mke hapendi ngono na yeye anataka kila wakati kwa uzoefu wangu wanawake ndio huwa hawapendi show za kila wakati kwa mwanaume Siku mbili kwa wiki labda niwe na dozi ya malaria kiukweli show baada ya Siku mbili ni reasonable na hapo lazima kuwe na mchepuko
 
Wengine tunatamani wake/wapenzi zetu wangekuwa wanatuzawadia papuchi kila siku lakini haitokei. Hadi tunaamua kuchepuka ili siku ukizidiwa na bibie hataki kutoa mzigo unaenda kujipooza nje. Ni PM namba yake mkuu.
Nilihitaji zaidi ya papuchi.
 
Too much ngono iwa inachosha sana man nafaham hiyo ilishawai nitokea hiyo i guess huyo atakuwa mtoto wa kasikazin maana hao wakishampenda komred kipepe utakoma hasa usiku kucha hd nilikuwa nasingizia kuumwa maaana ht raha ya mwanamke kukupay visit huwez iona...pole sana @ myfancyface
Ulijuaje wa Kaskazini?!!!! Duh. Mule mule.
 
Ahsante sana. Yasikukute haya.
 
Inasemekana huyo jamaa anasema kinyume chake mke hapendi ngono na yeye anataka kila wakati kwa uzoefu wangu wanawake ndio huwa hawapendi show za kila wakati kwa mwanaume Siku mbili kwa wiki labda niwe na dozi ya malaria kiukweli show baada ya Siku mbili ni reasonable na hapo lazima kuwe na mchepuko
Mpaka ofisini?!! Ukienda msalani waviziwa, ukibaki ufanye kazi yupo. No no no!!! Hizo Siku mbili ni zile za kutokwenda kwake. Ila siku zooote. Monday to Sunday tofauti ni aina tu ya sex.
 
Cha kufanya mchoree picha yako ya mkunyange awe anaitumia.

Vinginevyo andaaa kabisa Jeneza na Ugawe urithi ili kila mtu kwenye familia yako awe na chake.

Ili hata , ukifia kwenye nyama soft basi huku mtaani tusipate vita ya ndugu kugombea mali zako wakati huo ukiitwa "Ndugu Marehemu"
 
Ulijuaje wa Kaskazini?!!!! Duh. Mule mule.
Nawafaham sana watu wangu wote wa nyuma walkuwa hao. Nawafaham sana maana hao wanakuwaga wamelelewa kwa displine ya hali ya juu udogoni wakikua wakalifaham la kipepe balaa wanakuwaga ver ver addicted alaf driving school sana( wanatakaga kumendesha mtu) lkn n watu poa ktk maswala mengine hasabusafi
 
Pana dalili zote za ukweli hapa. Binafsi nikulia seminary nilivyotoka nikaenda chuo Baadaye sasa maisha ya kitaa nagegeda kila siku.

Yaani, wakati mwingine nakuwa nimetingwa ila nagegeda kwa macho demu wangu akiwa amevaa transparent cloth kama hivi 🙄🙄😱😱😡🙁🙁😡😀😀🙂🙂

Ila nakula vizuri. Ili nigegede tena usiku. Sasa bao la 1 one hour la pili two hours in ascending order like that.
 
Cha kufanya mchoree picha yako ya mkunyange awe anaitumia.

Vinginevyo andaaa kabisa Jeneza na Ugawe urithi ili kila mtu kwenye familia yako awe na chake.

Ili hata , ukifia kwenye nyama soft basi huku mtaani tusipate vita ya ndugu kugombea mali zako wakati huo ukiitwa "Ndugu Marehemu"
[emoji1]
 
Nawafaham sana watu wangu wote wa nyuma walkuwa hao. Nawafaham sana maana hao wanakuwaga wamelelewa kwa displine ya hali ya juu udogoni wakikua wakalifaham la kipepe balaa wanakuwaga ver ver addicted alaf driving school sana( wanatakaga kumendesha mtu) lkn n watu poa ktk maswala mengine hasabusafi
Kweli unawafahamu. Usafi ni wa hali ya juu sijapata ona. Mnh. Basi tu!
 
Ndugu zangu,

Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.

To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.

Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.

Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Huyu jamaa alikuwa sahihi mno kwenye maamuzi yake, after two days ngono uck kucha thats is like robotic sex.
 
Ndugu zangu,

Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.

To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.

Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.

Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]

Mlete huyo kwangu mimi huyu wa kwangu nitamleta kwako naona ndio mtaendana kwa sababu nikimgegeda viwili tu hataki tena si ujinga huo.. nipe huyo bana anayetaka kila baada ya siku 2 safi kabisa.
 
Ndugu zangu,

Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.

To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.

Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.

Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Wanaume wa dar mna matatizo sana. kama suala lake ni kila baada ya siku mbili nipatie namba yake mimi nitamkula kila siku mpaka akimbie mwenyewe.
Inaonekana wewe nguvu zako za chipsi
 
Ngono inachosha sana aosee hasa ukiiendekeza ht utendaj wako kazin lazima utazorota sana unaweza ht sinzia kazin....
 
yaani wewe sio mzalendo kabisa, unaota upele hutaki kuukuna, huo ni ufala tena ni uzembe na uzururaji
 
Back
Top Bottom