Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Ndugu zangu,

Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.

To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.

Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.

Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Nipe namba yake mkuu, huyo ndiye tunaendana naye. Kwanini bahati kama hz huwaangukia wrong people?
 
Acha ufala yaani baada ya siku Mimi akisem kila siku nampa tu atakimbia mwenyewe yaani napiga goli tatu kila siku
Tatizo lenu wanaume wa siku hizi na nyinyi mnakula chips nguvu utapata wapi pangilia chakula Chako vizuri utaona mashine inavyo pump
 
nina rafiki yangu yeye anapenda kusex jamani na anapenda wanume wenye uume mkubwa ila nachompendea akiona hamuendani anakupiga chini fasta utasikia miss unamkumbuka fulani ndiyo nimemuacha sababu nitamcheat sana.... naamini si huyu rafiki yangu .. sitoi namba
Ulemueleza hapa si ww kweli?
 
I'm sorry mkuu. Namba haitolewi. Nakutakia kila la heri umpate wa kwako kama huyo.
 
Asee kumbeeeee!!!
Khaaa ila hii ni aibu kwa wanaume kwakweli,mwanaume gani anaye kimbia K.
Mi kidume lege kama wewe ndo utakufa kabisaa....[emoji87]
 
Hapana kiukweli hiyo ni problem atii....sometime u need space...sio tight kiivo...wapo wa hivyo n tatizo bt I think n kumchana live na kuweka ratiba may be
Unaweza kumbadilisha
Nilijaribu mkuu. Na nilipoendelea kumuelimisha akazidisha mahitaji.
 
Acha ufala yaani baada ya siku Mimi akisem kila siku nampa tu atakimbia mwenyewe yaani napiga goli tatu kila siku
Tatizo lenu wanaume wa siku hizi na nyinyi mnakula chips nguvu utapata wapi pangilia chakula Chako vizuri utaona mashine inavyo pump
Hilo hata sio tatizo langu mkuu. Sio kila aumwaye kichwa ana malaria.
 
Wengine tunatamani wake/wapenzi zetu wangekuwa wanatuzawadia papuchi kila siku lakini haitokei. Hadi tunaamua kuchepuka ili siku ukizidiwa na bibie hataki kutoa mzigo unaenda kujipooza nje. Ni PM namba yake mkuu.
 
bdb44e805c984323a448dacbe9bba4d5.jpg
 
Too much ngono iwa inachosha sana man nafaham hiyo ilishawai nitokea hiyo i guess huyo atakuwa mtoto wa kasikazin maana hao wakishampenda komred kipepe utakoma hasa usiku kucha hd nilikuwa nasingizia kuumwa maaana ht raha ya mwanamke kukupay visit huwez iona...pole sana @ myfancyface
 
Back
Top Bottom