Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Inaelekea ulikuwa humkuni kisawasawa wewe,.....ungemsugua siku uhakikishe papuchi imewaka moto haswaa, asingerudia kukusumbua. Genye gani hizoo au pepoo limekimbilia chini mwee[emoji6]
Hivi ww huwa unataka kukunwa mara ngapi kwa wiki?
 
Nipe namba zake mkuu kama hutonipa basi story itakua ya uongo
 
Ndugu zangu,

Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.

To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.

Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.

Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]

Sema tu wewe humpendi sana umekuwa ukijilazimisha kufanya sex,Binti anakupenda sana na ana mapenzi ya dhati kwako, hakuchoki,sex within two days interval unalalamika penzi lenyewe bado changa!!!!We una matatizo,jichunguze,ni hayo tu.
 
Ndugu zangu,

Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.

To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.

Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.

Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Tatizo hukumpenda, alikupenda yeye. Dem umemfukuzia ukasota kiaina. Unaweza ukajikuta unapiga mashine daily mkuu
 
Yani kula papuchi after two days kwako tatizo mi nakula kila siku papuchi
 
Ndugu zangu,

Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.

To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.

Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.

Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Tittle yako umenifanya Nije faster
MIMI wa kwangu anazingua anataka kwa wiki mara moja (1) wakati me nataka mara 4 mpaka 5
Hebu nipe namba yake aache kukusumbua, Maana me nikimpata huyo namuacha hyu
 
nina rafiki yangu yeye anapenda kusex jamani na anapenda wanume wenye uume mkubwa ila nachompendea akiona hamuendani anakupiga chini fasta utasikia miss unamkumbuka fulani ndiyo nimemuacha sababu nitamcheat sana.... naamini si huyu rafiki yangu .. sitoi namba
Mbona sijakutana nao
Ivi kweli WaPo? Maana mm huyu wangu hachelewi Kuchoka masaa Sita tu
 
Nyie ndo mnafanya Wanaume wa daslam wanaonekana mapimbi,watu kila siku tunaomba sala za kupata mtu ambaye anapiga shoo 24/7 wewe ndo humtaki,punguza kiepe mkuu kula vyakula vya kujenga mwili acha kulalamika kwa vitu vya kijinga
 
Piga kazi kipande. Acha maneno.
 
Watu tumetofautiana watu wengi wenye uwezo kiakili na wanaofanya kazi kwa uweredi mkubwa uwa awapendi sana sex kuliko vilaza.Vilaza wakiwa maofisini utawajua kwa njia hiyo more more sex
 
Ulikuwa humpi show yenyewe inavyoonekana na km ungekuwa unampa czan km ungemuacha ila ushaur kwa wanaume wenzangu unapotoa dozi toa dozi heavy make wanawake bila ya kumpa heavy dozi wanakuchukulia mwanaume suruali
 
Back
Top Bottom