Hilo nalo nenoMpe shoo za kibabe
Kijana afanye kazi.Piga mzigo tu
Punguza kuchekaa na mapengo yko[emoji23] [emoji23]
We ndo humkojozi kama unagegeda hafu kwa kumhurumia pole yakoNdugu zangu,
Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.
To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.
Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.
Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
nina rafiki yangu yeye anapenda kusex jamani na anapenda wanume wenye uume mkubwa ila nachompendea akiona hamuendani anakupiga chini fasta utasikia miss unamkumbuka fulani ndiyo nimemuacha sababu nitamcheat sana.... naamini si huyu rafiki yangu .. sitoi namba[/QQUOTE naomba namba
Pole sna mkuu unaonekana wewe jogoo lako haliwezi hayo mambo duh kweli unakimbia wewe na kuja kusema humu kuwa ndani ya 2day unalalala mika hivyoNdugu zangu,
Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.
To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.
Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.
Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Yaani ulichosema ni kweli kabisa. Nilisafiri kikazi siku 10 tu duh. Ni adha isiyo ya lazima. Ni lazima usiku ufanye kazi simuni. Watu hamtaelewa ila maisha bila sex yanawezekana lakini amani ni muhimu. Sijajuta kumuacha.Ila Kuna watu wanapenda sex, kuna mmoja namfahamu hivyo hivyo, yaani yule ukisafiri hata wiki lazima watu wakuchapie, sipati picha sasa ukiumwa kama mwezi hivi, Ile ni too much.
Nakuelewa brother
Angekuwa jogoo hawezi dada wa watu angekuwa ananistalk hivi? Acha tu mkuu haya mambo mengine yaache tu kama yalivyo. Wanasema self praise has no recommendation.Pole sna mkuu unaonekana wewe jogoo lako haliwezi hayo mambo duh kweli unakimbia wewe na kuja kusema humu kuwa ndani ya 2day unalalala mika hivyo
Maisha sio sex tu mkuu. Amekuja kipindi ambacho nimepita huko. I'm looking for the one. My baby mama, a partner, friend and of course a bedmet to rock my life. Sasa hii ilikuwa no no no!!Watu kama ninyi ndio mnasababisha wanaume wote Hapa J.f tuonekane Chips Mayai,Yaani wewe unakubali kabisa kupiga mzigo kila baada ya siku 2 tena unakuja hapa kulialia kabisaaa! Sasa umeshaturudisha nyuma hatua 100 nyuma hapa J.f sijui tutaanzia wapi kuelezea hii Ishu.