Mkuu muone huruma , endelea nae tuKagoma kukichukua. Anachotaka ni kuwa na mimi tu. Mengine hayataki. Anasema vingine anaweza kutafuta. Eish.
Mkuu muone huruma , endelea nae tuKagoma kukichukua. Anachotaka ni kuwa na mimi tu. Mengine hayataki. Anasema vingine anaweza kutafuta. Eish.
Queen BMkuu muone huruma , endelea nae tu
Nimetukanwa mwenzio kwa kukataa hivyo vitu.Yani jioni hii nimekataa kupokea cm kwajili ya case kama hii kumbe tupo wengi
Utapata.Aisee natamani nipate hao nymphomaniac
Ahsante. Heri ya mwaka mpya kwako pia.Hivi mfukunyuaji kama mimi nipata hiyo ngekewa.... Ingekuaje daaaaah....
SIJAWAHI KUONA MTYOTYO WA KIUME ETI ANAKIMBIA SHOO... ETI DEMU ANATAKA SHOO MDA OTE..... BRAZA TUNA WASI WASI KIDOGO NA U-MANHOOD WAKO... kheri ya mwaka mpya...
Unapenda mashoga Mkuu KakaJambazi? Utuambie!Naona dalili ya ushoga inakunyemelea.
Soma post vizuri. Usiwaze migegedo tu! Kuna mtu amewahi tunukiwa kwa kugegeda? Mara nyingi wanaojisifia sana kuwa ni wagegedaji......>>>>>>Kweli vijana wa Dar ameharibikiwa..... Yaani kugegeda kila baada ya siku mbili huwezi unataka baada ya siku ngapi???
ANYWAY... HUO NI UGONJWA ANZA KUTAFUTA MITI SHAMBA
Na kiwanja nikuhonge halafu unipige chini?[emoji34] [emoji34]Kakitataa kata kata. Ana hasira na mimi!
Bola umwambie wew [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wengine sijui mkoje yaani kugegeda baada ya siku mbili unashindwa..!? Kwahiyo ulitaka kwa mwaka mara moja..!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] huo ni urijal
nina rafiki yangu yeye anapenda kusex jamani na anapenda wanume wenye uume mkubwa ila nachompendea akiona hamuendani anakupiga chini fasta utasikia miss unamkumbuka fulani ndiyo nimemuacha sababu nitamcheat sana.... naamini si huyu rafiki yangu .. sitoi namba
Kama alinunua mpaka kiwanja mwenzako alishakuwa na mahesabu ya kuimbiwa anawakawaka, ana meremeta wakati wewe ulikuwa una have fun. Hii inatokeaga mara nyingi, wanawake tukianza tu relationship tunakuwa tumeshajenga picha ya gauni leupe kichwa, vikiishia kati kati tunaumia sana.