Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Nichofahamu ile biashara usishiriki na mtu unaefanya nae kazi ofisi moja au mnakaa nyumba moja ya kupanga, yakiharikibika asubuhi hutaki kwenda ofisini wakati ndiyo mkate unakotoka. Kama mnaishi nyumba moja ya kupanga, asubuhi unamlia timing unaoga kabla hajaamka, kasheshe ukimaliza kazi, hutaki kurudi nyumbani.
Uuuuwwiii nimecheka kwa sauti kubwaaa!!
 
Kweli nchele mmoja mapishi mbalimbali, wengine wanalia hawapewi vya kutosha, wengine wanakimbia
 
Kweli nchele mmoja mapishi mbalimbali, wengine wanalia hawapewi vya kutosha, wengine wanakimbia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ndo utaamini ule usemi WANASEMAGA MUNGU HAKUPI VYOTE..... Na utaelewa maana ya raha ya gemu ingia uwanjani ucheze mwenyewe..... Pia utagundua ninj walimaanisha waliosemaga kene miti mingi hakunaga wajenzi.....
 
nina rafiki yangu yeye anapenda kusex jamani na anapenda wanume wenye uume mkubwa ila nachompendea akiona hamuendani anakupiga chini fasta utasikia miss unamkumbuka fulani ndiyo nimemuacha sababu nitamcheat sana.... naamini si huyu rafiki yangu .. sitoi namba
Heri ya mwaka mpya!
 
Mh [emoji15] hata mimi yangenishinda, yaani kila baada ya siku mbili [emoji29][emoji29][emoji29]
 
Hapa kwa redio kuna jamaa anasema kuna binti mpya ofisini anamtamani..mwanzoni alikuwa naye karibu ila bosi akajichomeka.kila baada ya siku mbili anampigia nyeto chooni. Amemhonga vyote..kiwanja..pesa ila binti hajampa the river between...anajutaa!

Ila hii hadithi ya redioni haifanani na yako...happy new year!
 
Wanaume wa Dar wananisikitisha sana aisee!Mwanamke anataka sex tena kila baada ya siku 2 inakuwa mzozo?Mwee Mungu anampa upele asiye na kucha!
Sisi Kyela hata kama anataka sex kila siku tena kila saa ndiyo tunafurahi
Mpe ani PM huyu msichana tafadhali sana
 
Back
Top Bottom