Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Kaka hujanielewa. Ngoma ni nzito. Kuonana J4, Alhamis, Jmosi na Jumapili na hizo zote usiku hamna kulala mwendo wa tano kwenda mbele. Kumbuka sisi wote ni wafanyakazi, usipolala kazini inakuwaje?
Mkuu ulikua unasimamia shoo vizuri..!? Kulala ungekua unalala wikiendi..!!
 
Sisemi chochote zaidi ya haya niloandika hapa. Ana qualities zake nzuri zipo but she was not meant to be mine. She was suffocating me brother, miezi mitatu ilinitosha kuamua.
Sasa umeongea, so i'm thinking it's not about the lack of sleep and the sex every after 2 days. The issue here is that she just doesn't tickle your fancy the way you want it tickled otherwise you wouldn't mind. She is obviously into you real deep, that is way she can't get enough. Too bad for her the feeling wasn't mutual.
 
Wengine tunatafuta fursa kama hizo na hatuzipati..
Yaani dogo kanishangaza kweli aiseee, kuna watu hawana aibu, Ushindwe kusex?? Sisi wakati ule kabla ya kuoa tulikua tunafanya hio kitu hadi unashindwa kutembea!! sasa eti unakuja kuandika kuwa umeshindwa!! Kijana wa kiume?? Aiseeeee halafu baada ya siku mbili tatu tunalalamika kuwa wapenzi wetu wana michepuko
 
Kama alinunua mpaka kiwanja mwenzako alishakuwa na mahesabu ya kuimbiwa anawakawaka, ana meremeta wakati wewe ulikuwa una have fun. Hii inatokeaga mara nyingi, wanawake tukianza tu relationship tunakuwa tumeshajenga picha ya gauni leupe kichwa, vikiishia kati kati tunaumia sana.
 
Mkuu ulikua unasimamia shoo vizuri..!? Kulala ungekua unalala wikiendi..!!
Wkendi ndio balaa. Unafungiwa ndani. No church no nothing. Mwanzoni ilikuwa tamu. Lakini shughuli zooooote zinasimama. Miezi 3. Stress kibao.
 
Sasa umeongea, so i'm thinking it's not about the lack of sleep and the sex every after 2 days. The issue here is that she just doesn't tickle your fancy the way you want it tickled otherwise you wouldn't mind. She is obviously into you real deep, that is way she can't get enough. Too bad for her the feeling wasn't mutual.
Duh! You have hit the nail on the head. I should have waited for my feelings to grow. Lakini spidi yake iliniponza. She did everything, kunisogeza. My heart totally refused. Nimemuumiza.
 
Yaani dogo kanishangaza kweli aiseee, kuna watu hawana aibu, Ushindwe kusex?? Sisi wakati ule kabla ya kuoa tulikua tunafanya hio kitu hadi unashindwa kutembea!! sasa eti unakuja kuandika kuwa umeshindwa!! Kijana wa kiume?? Aiseeeee halafu baada ya siku mbili tatu tunalalamika kuwa wapenzi wetu wana michepuko
Okay.
 
Back
Top Bottom