Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Lakini hujawa serious wewe, mimi nikikauka wala siongei mengi upande wa pili anajua tu hapa biashara imekwisha.
 
Uzembe mwingne huu hapa. Kijana fanya mazoezi kdg kula sana na kunywa maji ya kutosha. Mwambie mpnz...Acha uzembe na kulia lia
 
Unakula chakula bora au chips mayai..piga tikitiki maji kwa wingi na matunda jamii ya machungwa...heshima rudisha kaka...haoa umeuza timu.
Sio bora chakula. Kile chakula cha wanaume. Chips hazijawahi panda kabisa.
 
Unakula chakula bora au chips mayai..piga tikitiki maji kwa wingi na matunda jamii ya machungwa...heshima rudisha kaka...haoa umeuza timu.
Watoto wa mjini hawa shida tu. Huwezi sikia haya mikoani huku. Vichips vinaleta shida tupu. Kuleni ugali dona
 
Hizi life disappointments zikitokea ni kheri uokoke au uende councelling, haya ya kuhamisha frustrations zako kwa watu unazidi kuumiza wengine.
Tatzo lipo hivi. Je unahamishia kwa mtu sahihi? Dada huyo angehamishia kwa mpiga kazi ingekua poa sasa kahamishia kwa Malalamikaji
 
Hizi life disappointments zikitokea ni kheri uokoke au uende councelling, haya ya kuhamisha frustrations zako kwa watu unazidi kuumiza wengine.
Hataki counseling. Unajua muhusika mwenyewe ni lazima akubali ana tatizo ili kupata mafanikio kwenye hayo matibabu. Bila hivyo ni kubishana tuu! Urgh.
 
Mkuu kama ni ofisini uanze kuona kuna kifaa kipya kinakuja kumpick for lunch na wewe hujamaliza maumivu, au nyumbani kuna katoto ka chuo kabichi kamekuja weekend panakuwa pa tamu sana.
Ningependa kumuona akiwa na furaha. Watoto wachuo nawaachia madogo. I need to recover kwanza. No rebound for me.
 
Ningependa kumuona akiwa na furaha. Watoto wachuo nawaachia madogo. I need to recover kwanza. No rebound for me.
Tena kama una ki project sasa hivi unakipa full attention, muombe sana Mungu pia upite salama katika mtihani huu.
 
Tena kama una ki project sasa hivi unakipa full attention, muombe sana Mungu pia upite salama katika mtihani huu.
Namshukuru sana Mungu kwa hili. Japo tunamkosea sana(kwa kuvunja amri sana) lakini pale tumwombapo huwa hatuachi! I have locked my feelings away mpaka hapo.
 
Hivi mfukunyuaji kama mimi nipata hiyo ngekewa.... Ingekuaje daaaaah....

SIJAWAHI KUONA MTYOTYO WA KIUME ETI ANAKIMBIA SHOO... ETI DEMU ANATAKA SHOO MDA OTE..... BRAZA TUNA WASI WASI KIDOGO NA U-MANHOOD WAKO... kheri ya mwaka mpya...
 
Back
Top Bottom