Anaondoka aiseee!!!!!!!

Anaondoka aiseee!!!!!!!

Steven mushi mushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
533
Reaction score
741
27d0cace350cb07b27cf300512683ad9.jpg
 
Kweli hii ni mbegu bora wote warefu kama twiga kwenye tambarale za serengeti
 
Ni kweli aisee atakumbukwa kwa mengi wakati anaingia madarakani hadi kipindi anatoka... Kila la heri kwake
 
Amefanya mambo mengi sana katika utawala wake na ameweka historia mpya nyingi tu kwa kipindi alichokaa madarakani
 
Na akwende.
Mtu mweusi mwenye ushawishi duniani anayeunga mkono ushoga, amemuua Gadaffi, amekuza migogoro ya kivita nchi za kiarabu kinyume na ahadi zake anatakiwa akwende.
 
Halafu mwaka jana kulikuwa na habari ambazo zilienea sana kuwa alikuwa mjamzito baadaye zikaja zikapotea sasa sijajua kama ilikuwa ni kweli wakaifanyia manuva au zilikuwa ni propaganda tu
Kwa vyovyote inawezekana kabisa ni kweli...si Malia anakula na kushiba halafu hana stress halafu kavunja ungo?
 
Kwa vyovyote inawezekana kabisa ni kweli...si Malia anakula na kushiba halafu hana stress halafu kavunja ungo?
Inawezekana ikawa kweli mkuu maana hii habari ilienea sana ila nafkiri itakuwa waliyamaliza kimya kimya siunajua tena maprezidaa walivyo
 
Kwa vyovyote inawezekana kabisa ni kweli...si Malia anakula na kushiba halafu hana stress halafu kavunja ungo?

Hivi unakapataje haka na kukagonga mpaka kapate ujauzito....na ulinzi unao kazunguka.....
 
Back
Top Bottom